Baada ya Watanganyika na Wazanzibar kuanza kuhoji kuhusu Muungano kwa kasi, sasa nahisi kwa nini Jiwe aliamua kwa nguvu zote kuhakikisha ndoto ya serikali kuhamia Dodoma inatimia ili kuwa sehemu...
Nianze na salamu za mwaka huu wa 2024 kwa wanajukwaa wote,nilibanwa kidogo na shughuli nyingi mwaka huu ila sasa nimerudi tena jukwaani.
Tunaanza; Tambua kuwa nafsi ndiyo sehemu ya mtu iliyobeba...
Wadau naomba ushauri wenu.
Nina mpenzi. Anakaa kwingine anakofanyia kazi.
Hivi juzi kati nilimpigia simu usiku kama saa 3 mpaka saa 7 hivi nikawa najibiwa SIMU INATUMIKA. Nikatuma na message...
Wananchi wanaojitokeza kulalamika kwa mkuu wa Mkoa Makonda ni wengi sana, kama vile hakukua na serikali hata kidogo. Lakini inafahamika kuwa ni CCM iliyoko madarakani tangu nchi pate uhuru 1961...
sidhani kama kuna raia au mwanainchi anaweza kuamini na kukipa dhamana chama ambacho kimeshindwa kabisa, kutatua na kufikia muafaka wa tatizo lake dogo tu, dhidi ya wanachama wake, ambao ati...
Mjukuu wa baba wa Taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema Bunge la Dodoma lina Wabunge 50 wa Zanzibar ( Minority) na Wabunge 250 wa Tanganyika ( Majority) hivyo wakati mwingine hufanya Maamuzi...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Mashabiki wengi wa ngumi pamoja na mabondia mbalimbali wa ngumi duniani wameshtushwa baada ya kuona maandalizi ya pambano kati ya mwanadada Claressa Shields pamoja na bondia wa kiume Ryan Garcia ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.