Habari nauza kiwanja changu kipo Zanzibar kiwengwa kina ukubwa 33*30 kutoka kwenye kiwanja hadi beach ni dakika 5 kwa kutembea kiwanja kinafaa kwa makazi binafsi lakin pia kwa biashara
Nauza...
Salamu waungwana. Napenda kuuliza, anayejua hali ya barabara ya kutoka Buswelu hadi Nyamhongolo kupitia Nyamadoke ilivyo aniambie. Mara ya mwisho nilisikia kuwa barabara hiyo kutoka Buswelu...
Mzee Wa upako anaamini Yesu Sio Mungu ni mojawapo tu wa viumbe vilivyoumbwa na Mungu msikilize mwenyewe akiongea
https://youtu.be/arslWzOsg6U?si=kb8B1gDqxFl-jXq8
Mimi ni kijana mwaminifu kabisa sio mwizi ila natafuta mtu wa kua ananiazima geto hata kwa masaa kwa ajili ya shughuli zangu ndogo ndogo!
Nitakua nampooza ya maji!!
NB: Wenye ushauri wa uende...
Azam yupo tayari kwa lolote hata kukihujumu ili Simba anufaike.
Leo Azam kauza nafasi ya pili makusudi kwa Simba.
Kuna msimu aliwapa Simba wachezaji 6 wa first 11 ndo Simba akatawala soccer la...
Hello brothers and sisters... This is something very important you should know.
When you have sex with another person, you exchange energy. If that person is carrying around guilt, shame or...
Kutoka Kwa Zitto Kabwe,
Zitto kasema Kwa uwazi kua hati ya Muungano ya mwaka 1964 inatambua serikali ya Zanzibar, Serikali ya Tanganyika na Serikali ya Muungano.
Sasa Kwa nini CCM imekua...
Hizi kauli za KIPUMBAVU kabisa. Unawezaje kutoa hoja ya kuharibu Nchi kisa uendelee kuwa CCM na kulipa ADA!!! ? Wasio CCM watoto wao hawasomi ? Huu ni ujinga , ni kama uwe mahabusu halafu mkeo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.