Kati ya makabila 120 sikua najua kama kuna kabila la wahima.
Hawa ni kama masai weusiii
NB:Tanzania itakua haina kabila by 2050 ! Yaani hakuna mtu atakua anajitambua kama msukuma au mchaga ila...
Kuna tetesi Azam amelipia VAR next season maana kuna cheaper alternatives ya var. FIFA introduced recently Azam na Board ya ligi wanataka kuipitisha. Kiwake next season, tutajua mchawi nani...
Nashindwa hata kujieleza maumivu yake kumbe ndo hivi wanangu mpaka video zao wakiwa kitandan ninazo kwenye simu yangu nashindwa hata kumuangalia kwa hasira huyu mwanamke hata kumuulizia juu ya...
Hii sio siri bali ni kitu iliyo wazi kabisa.
Wanaume wasiotumia akili katika kumpenda mwanamke, ndio hao wanao lia lia kutwa nzima kwa uchungu na kuwalaani wanawake baada ya kupigwa za uso...
Nyumba Inauzwa.
Ipo Vingunguti kituo msikitini karibu na Tabata Barakuda.
Ina Vyumba vinne(4), hakuna master bedroom.
Eneo Sqm 135.73
Ina leseni ya makazi.
Bei Milioni 85
Karibu sana mteja...
Mzee Wa upako anaamini Yesu Sio Mungu ni mojawapo tu wa viumbe vilivyoumbwa na Mungu msikilize mwenyewe akiongea
https://youtu.be/arslWzOsg6U?si=kb8B1gDqxFl-jXq8
Hii stendi naona watu wanasifia, na kuna wakati Waziri Mkuu alie da kukagua maendeleo ya Ujenzi, Ila tulinyimwa akili au zipo ila Uchwa umetuzidi.
Swali ni Je Hakuna Idara ya Intelijensia ya...
Niliwahi kumshauri huyu mzazi kwamba uwezo wake kiuchumi wa kuweza kufunga wifi nyumbani na kuweza kumnunulia mtoto simu, sio kigezo cha kumwachia mtoto uhuru kwenye ulimwengu wa kidijitali...
Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.