Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

wakuu naomba nisaidiwe
0 Reactions
1 Replies
2 Views
KC Mstaafu wa ACT Wazalendo amesema Watanganyika hawatoki wapate Serikali ya Tanganyika eti kwa sababu Zanzibar Wana Serikali, au kwa sababu hatuwapendi Wazanzibar La hasha tunataka Serikali ya...
7 Reactions
28 Replies
881 Views
Mzee wetu, Bilionea Isaac Mowo, ametutoka. Kila aliyeguswa na kifo chake, ninampa pole. R.I.P Mzee wetu Mowo
7 Reactions
51 Replies
2K Views
Mzee Wa upako anaamini Yesu Sio Mungu ni mojawapo tu wa viumbe vilivyoumbwa na Mungu msikilize mwenyewe akiongea https://youtu.be/arslWzOsg6U?si=kb8B1gDqxFl-jXq8
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Habari za majukumu ndugu zangu,, kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu napenda kuuliza bei ya control box ya gari tajwa hapo juu maana gari yangu iliingia kwenye maji ikapiga shot So...
0 Reactions
7 Replies
38 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
515K Replies
29M Views
Wakuu nahitaji 2011 Nissan Xtrail ukubwa wa Engine uwe kati ya 2 mpaka 2.5 cc. Niagize wapi Kati ya Japan na Afrika Kusini?
7 Reactions
77 Replies
2K Views
Wadau naomba ushauri wenu. Nina mpenzi. Anakaa kwingine anakofanyia kazi. Hivi juzi kati nilimpigia simu usiku kama saa 3 mpaka saa 7 hivi nikawa najibiwa SIMU INATUMIKA. Nikatuma na message...
13 Reactions
90 Replies
1K Views
Tangu kuteuliwa kwa RC Makonda Arusha, Lema ni kama amepotea, watu wapo bize na makonda in short kama hali itaendelea hivi hivi A town Lema ana kazi sana. Utendaji kazi wa RC unawakosha watu na...
5 Reactions
12 Replies
205 Views
Sote tulisikia habari za yanga kufungiwa kwa kutomlipia ada ya usajili mchezaji ambaye wamefanya kuwa siri. Hapa inawezekana kabisa walishirikiana na TFF kuchezea mfumo.Sasa hatari inayowakabili...
2 Reactions
8 Replies
220 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,137
Posts
49,591,261
Back
Top Bottom