Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu vipi? Nina Imani wote mu wazima, ni kampuni gani kwa dar hapa inanunua mwani wakuu? Bei ya kilo ikoje? Nawezaje na naanzaje kupata mteja nje ya nchi ikiwezakana wakuu?
3 Reactions
22 Replies
213 Views
Wadau naomba ushauri wenu. Nina mpenzi. Anakaa kwingine anakofanyia kazi. Hivi juzi kati nilimpigia simu usiku kama saa 3 mpaka saa 7 hivi nikawa najibiwa SIMU INATUMIKA. Nikatuma na message...
12 Reactions
55 Replies
712 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
515K Replies
29M Views
Wananchi wanaojitokeza kulalamika kwa mkuu wa Mkoa Makonda ni wengi sana, kama vile hakukua na serikali hata kidogo. Lakini inafahamika kuwa ni CCM iliyoko madarakani tangu nchi pate uhuru 1961...
11 Reactions
46 Replies
2K Views
Rafiki yangu mpendwa, Inapokuja kwenye fedha, kila mtu anajua umuhimu wake. Na umuhimu wa fedha siyo kwa sababu ni fedha, bali kwa sababu ya matumizi yake. Fedha ni muhimu kwa sababu...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Jamani sijui Mimi ni mshamba?sijawahi penda biriani
14 Reactions
255 Replies
2K Views
Ukweli Tanganyika ni nchi ngumu. Jimbo la lupa lililopo chunya, halina hata nusu Kilomita ya Barbara ya Lami. Na Cha kufurahisha mbunge wake Yuko bungeni na anatarajia kurudi kuomba kura tena...
0 Reactions
11 Replies
27 Views
Kwanza Kabisa nawatakieni ninyi nyote Sabato yenye Baraka Nimesoma mahali kwamba Mtabiri wa taifa enzi za Nyerere Shehe Yahya Hussein alitabiri Uongozi ujao kuanzia awamu ya 4 hadi ya 6...
0 Reactions
3 Replies
11 Views
Habar za jioni wana jukwaa, Ninaomba msaada mimi ni muhitimu wa master ya elimu Usimamizi na Utawala. Sasa tokea nimalize nimekua natafuta kuhama idara japo nisogee katika idara zingine mfani...
3 Reactions
12 Replies
458 Views
KAZI ANAZOFANYA MH PAUL MAKONDA NDIO KAZI ZA KIONGOZI Na Comrade Ally Maftah JITU LA MIRABA Mimi ni shabiki mkuu wa aina ya siasa za watu kama Paul Makonda. nimekuwa nikimshabikia bila woga...
2 Reactions
4 Replies
55 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,123
Posts
49,590,634
Back
Top Bottom