Wakuu, nipo hapa napambania kujikwamua kwenye umaskini, nipo nachakata mawazo kwa ajili ya kufanya harakati, wengi walianzia chini sana na wakafanikiwa kupata pesa nyingi.
Mawazo yangu niliyonayo...
Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae...
Nje ya Siasa makamu Mwenyekiti wa Chadema, mh Tundu Antipas Lissu anaelewa Wazi kama kweli DP World wameuziwa Bandari basi Muuzaji ni Wabunge zaidi ya 300 wa Tanganyika waliopo bungeni kwa sasa...
Rais wa Zambia Hakainde Hichilema ambae ndio role model wa Chadema amesema atamtia ndani mpinzani wake wa Kisiasa ambae ni Rais wa Zamani bwana Edgar Lungu Kisa Wananchi wengi Wanamfuata baada ya...
Mzee Wa upako anaamini Yesu Sio Mungu ni mojawapo tu wa viumbe vilivyoumbwa na Mungu msikilize mwenyewe akiongea
https://youtu.be/arslWzOsg6U?si=kb8B1gDqxFl-jXq8
Habari wana jamvi, naona bunge na Serikali ikiwa na hoja nzuri yenye mtazamo wa kuweka mazingira ya wananchi kupata afya kwa mfumo wa bima.
Kwakuwa ni shirika moja ndio linalotegemewa (NHIF)...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Vigogo wa Chadema wako ndani ya Kikao kizito muda huu wakijadili masuala mbali mbali, ukiwemo mustakhabari wa Nchi .
Miongoni mwa Ajenda ni kuhusu Chaguzi za...
Siasa za dijitali, siasa za mitandaoni, siasa za Instagram, siasa za uchawa.
Ukiwa na akili timamu huwezi kushabikia siasa za Makonda na umapepe wake wa kulazimisha kukubalika Kila pembe ya...
Mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tanzania analipwa sh milioni 5 hadi kumi kwa mwezi na bado hizo zinaonekana eti ni ndogo.
Ila mwalimu wa shule ya Msingi analipwa sh laki 3 kwa.mwezi ( hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.