Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Picha inaongea mengi kwakweli.
5 Reactions
18 Replies
683 Views
Mzee Wa upako anaamini Yesu Sio Mungu ni mojawapo tu wa viumbe vilivyoumbwa na Mungu msikilize mwenyewe akiongea https://youtu.be/arslWzOsg6U?si=kb8B1gDqxFl-jXq8
19 Reactions
397 Replies
4K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
515K Replies
29M Views
Wakuu kama mada inavyojieleza, kuna nimepata dili la kupekeka kirosho kilo 500, ni wapi naweza kupata kwa bei ya jumla? Tax itakuwa bei gani? Nahitaji kusafirisha kwa njia ya meli. Nipo Dar es...
3 Reactions
9 Replies
113 Views
INTRODUCTION. Sikutishi, Ninakupa UKWELI Ili uamue mahali pa kwenda utakapokufa. MBINGUNI ni makazi ya Walio hai. KUZIMU: Ni nyumbani kwa wafu, ni gereza la kuwatunza wafu wakipitia mateso...
19 Reactions
551 Replies
22K Views
Nashindwa hata kujieleza maumivu yake kumbe ndo hivi wanangu mpaka video zao wakiwa kitandan ninazo kwenye simu yangu nashindwa hata kumuangalia kwa hasira huyu mwanamke hata kumuulizia juu ya...
11 Reactions
37 Replies
487 Views
Wakuu Salaam, Toka nimekaa hapa Jiji la Chalamila, Jana ndio mara yangu ya kwanza kufika Mbagala na kulala huko. Huu Ndio Mtazamo wangu na Baadhi ya niliyoyashuhudia Mbagala.. 1. Mbagala Ina...
1 Reactions
6 Replies
7 Views
Wana theolojia, na wengine wote, karibuni kwenye MADA, Naombeni mnisaidie hili swali, Ni kama jepesi,Ila ni gumu,ni kutokana na mvutano uliopo, Kuna wanaosema JEHANAM ya muda sio ya milele na...
3 Reactions
35 Replies
245 Views
Nimeondoka nyumbani kwangu huu ni mwezi wa pili! Mume wangu kuna hela alinipa kama milioni 2, kwaajili ya kumuwekea. Mume wangu alikua ni mfanyakazi wa kampuni moja binafsi, sasa katika kampuni...
35 Reactions
350 Replies
18K Views
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,312
Posts
49,596,523
Back
Top Bottom