Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Inakwaza na kufedhesha sana kwasasa kuona kuna ongezeko kubwa la watoto ambao hawajulikani baba zao ni akina nani na hata kama baba wanajulikana basi hawapo katika maisha ya mtoto. Big up kwa...
34 Reactions
209 Replies
2K Views
Ukiingia page ya insta ya millard ayo na Ayo tv unaweza ukadhani imeshakodiwa na ccm Ukikaa kidogo utaona habari ya Happi mara mbili kwa siku , kesho makala keshokutwa nchimbi na kinana, Baada ya...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mtoto wangu yoyote yule akija kuwa askari polisi amejifukuzisha mwenyewe kwenye familia.
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kassimu Majaliwa leo hii ameshiriki Tulia Marathon Mkoani mbeya. Mbio ambazo zimekuwa zikifanyika kila mwaka...
1 Reactions
12 Replies
80 Views
Mwisho wa mwaka huu ndio ushafika. Wengine huwa tunapambana mwaka mzima siku za mwisho kama hizi ndio tunapumzika. Wale wa road trips ndio wakati wetu huu kupiga masafa mafupi, marefu na ya Kati...
89 Reactions
22K Replies
1M Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
927 Reactions
1M Replies
40M Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
515K Replies
29M Views
matukio ya Pan Africanist kalenda Congress 1959-2011 Mnamo 1959 Walioamini kuwa Afrika ya Kusini ni Kwa Waafrika siyo nchi mchanganyiko walijitenga na ANC na kuunda chama chenye msimamo mkali...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Baada ya Watanganyika na Wazanzibar kuanza kuhoji kuhusu Muungano kwa kasi, sasa nahisi kwa nini Jiwe aliamua kwa nguvu zote kuhakikisha ndoto ya serikali kuhamia Dodoma inatimia ili kuwa sehemu...
1 Reactions
9 Replies
253 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,226
Posts
49,593,930
Back
Top Bottom