Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hii ni dharau, pili mshahara wa Benchikha ulitoka kwa mmiliki wa club ya Simba yaani Mo (alisema kainunua na hajawahi kufuta kauli yake), mishahara ya Mgunda na Matola inatokana na mapato ya club...
1 Reactions
10 Replies
81 Views
Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae...
21 Reactions
6K Replies
218K Views
Mtandao kupotea ghafla hewani, umepata changamoto gani mdau? ======= Leo Jumapili, Mei 12, 2024 limetokea tatizo la internet kwenye mitandao ya simu Tanzania kuanzia saa nne asubuhi. Taarifa za...
7 Reactions
75 Replies
2K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
515K Replies
29M Views
Mwanamke kuzaa akiwa na umri wa miaka 30 ni sahihi au sio sahihi amechelewa?
1 Reactions
13 Replies
241 Views
Wakuu salama? Aisee aiseee kimenuka tiyari hapa nyumbani kwangu kati yangu mimi na mama solomonii. Mimi ni mwanaume wa early 30's niko na mke na familia ya watoto kadhaa. Mimi siku zote huwa ni...
27 Reactions
133 Replies
3K Views
Lissu ni kijana wa mjini na amefanya siasa nyingi za hoja na za hovyo akiwa Bungeni na sasa majukwaani. Kwa mtazamo wangu haya ndio majina ya wanachama 3 wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu...
10 Reactions
164 Replies
6K Views
Leo kuna shida kubwa sana ya mitandao yote ya simu. Tangu saa nne. Nimejikuta nayakumbuka madishi ya Elon Musk ya Starlink.
2 Reactions
19 Replies
487 Views
Ukiangalia wachezaji wengi ni WA kawaida huenda coastal ukienda Kenya inakuwa bingwa tena bila kufungwa hasa golini akiwepo Matampi Hapa naangalia game ya Gor na Shabana dah ni kama ndondo flani...
7 Reactions
36 Replies
804 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,352
Posts
49,601,281
Back
Top Bottom