Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

1. Mwanamke hakikisha tunda safii na limelimwa majani sio msitu mnene, huo ni uchafu pia. 2. Piga mswaki kabla ya tendo ili kuondoa harufu mbaya, mdomo utakuwa fresh. 3. Vaa nguo zako za mitego...
2 Reactions
26 Replies
369 Views
Soma alichoandika Mbunge wa Nzega, Hamis Kigwangala kwenye uzi aliokuwa kauandika akimshukuru Jenista Mhagama. Badala ya kuwalaumu TRA, Polisi, TPA na mamlaka zingine tungelaumu kwanza hawa...
3 Reactions
16 Replies
308 Views
Kwa uthubutu na utenda kazi usio chosha, ni vyema sasa Mamlaka za uteuzi zimteue Makonda kuwa Mkuu wa Mikoa ya Arusha na Kilimanjaro. Kwa huyo Nurdin Babu sielewi hata huo Ukuu wa Mkoa alipewa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Huu ni uzi maalumu kwa watumiaji vifaa vya APPLE | MacBook | iMac | iPhone | iWatch | Airpods | ipads | na vifaa vinginevyo vinavyotumia iOs Ku share experience zao katika utumiaji..! Taarifa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
  • Poll
INTRO Watu wengi wanaopenda kudadisi na kutafakari undani na ukweli wa mambo . Mara nyingi hugundua kwamba mfumo wetu wa maisha kiujumla una maswali mengi sana abayo hayana majibu kamili...
75 Reactions
4K Replies
257K Views
Hi mimi ni dada, natafuta marafiki wa ku chat nao siishi TZ na kuna muda na tu unatamani tu kupata wa nyumbani kuongea nae na ku exchange mawazo na uzoefu. Any age, and gender karibuni. Sina...
5 Reactions
24 Replies
496 Views
Hali ya rushwa kwa askari wa usalama barabarani imefikia kiwango cha kutisha sana, majuzi hapa nilikuwa nasafiri na gari majira ya usiku wa manane, askari akanisimamisha nikakutwa na makosa...
8 Reactions
32 Replies
632 Views
Kinachotokea kwenye mikutano ya mkuu wa Mkoa wa Arusha kimeonesha kuwa, wananchi wengi wanateseka sana kwa kukosa haki zao kutokana na watendaji wabovu wa nafasi tofauti tofauti. Nafikiri hata...
5 Reactions
12 Replies
258 Views
Habari zenu, Nina rafiki ambaye siyo wa karibu sana alikuwa kwenye mahusiano na mtarajiwa wangu sasa baada ya kuachana kwao nilifanikiwa kumshawishi tukaingia katika mahusiano kwa siri kubwa sana...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae...
21 Reactions
6K Replies
217K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,344
Posts
49,596,949
Back
Top Bottom