Mzee Wa upako anaamini Yesu Sio Mungu ni mojawapo tu wa viumbe vilivyoumbwa na Mungu msikilize mwenyewe akiongea
https://youtu.be/arslWzOsg6U?si=kb8B1gDqxFl-jXq8
Wana theolojia, na wengine wote, karibuni kwenye MADA,
Naombeni mnisaidie hili swali,
Ni kama jepesi,Ila ni gumu,ni kutokana na mvutano uliopo,
Kuna wanaosema JEHANAM ya muda sio ya milele na...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa mara nyingine tena Dunia imempatia heshima ya kipekee kabisa na ya hadhi ya juu kabisa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Mama Samia...
Mpaka sasa wameshapata funzo kwamba Myahudi akidhamiria anapiga tu, wamekubali kujiondokea, magaidi ya dini yabaki yenyewe panyooshwe kama kwingine kule. Mtakaobaki hapo msianze kusema akina mama...
niliwahi kumshauri huyu mzazi kwamba uwezo wake kiuchumi wa kuweza kufunga wifi nyumbani na kuweza kumnunulia mtoto simu, sio kigezo cha kumwachia mtoto uhuru kwenye ulimwengu wa kidijitali...
Mkuu wa mkoa wa Arusha katika kile kinachoitwa kusikiliza kero za wananchi jana akiwa amevalia kinadhifu mavazi ya kofia na tisheti vyenye maneno "Jesus did it" amezungumzia mambo mawili muhimu...
Marekani Kupitia Ibalozi wake imetoa Msaada wa Maboza 6 ya Maji yanayojiendesha Kwa Jeshi la Tanzania JWTZ.
Maboza hayo Yana uwezo wa kusukuma maji Lita 2400 Kila Moja na ni maalumu kutumika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.