Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mimi ni kijana mwaminifu kabisa sio mwizi ila natafuta mtu wa kua ananiazima geto hata kwa masaa kwa ajili ya shughuli zangu ndogo ndogo! Nitakua nampooza ya maji!! NB: Wenye ushauri wa uende...
13 Reactions
131 Replies
1K Views
Inakwaza na kufedhesha sana kwasasa kuona kuna ongezeko kubwa la watoto ambao hawajulikani baba zao ni akina nani na hata kama baba wanajulikana basi hawapo katika maisha ya mtoto. Big up kwa...
38 Reactions
219 Replies
2K Views
KAZI ANAZOFANYA MH PAUL MAKONDA NDIO KAZI ZA KIONGOZI Na Comrade Ally Maftah JITU LA MIRABA Mimi ni shabiki mkuu wa aina ya siasa za watu kama Paul Makonda. nimekuwa nikimshabikia bila woga...
4 Reactions
8 Replies
172 Views
Rafiki yangu mpendwa, Kwenye safari ya kujenga utajiri, watu huwa wanashangaza sana. Wengi wanapokuwa na miaka 20 na 30 huwa wanaona ni mapema sana kwao kuhangaika na kujenga utajiri. Hivyo...
5 Reactions
41 Replies
991 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
515K Replies
29M Views
Nimekuwa nikifuatilia hotuba za Lissu kwenye ziara zake. Kwanza nilichobaini ni uwepo wa siasa za kukigawa chama na nchi kwa ujumla. Lakini pia hasira na mihemko kwenye kauli zake apunguze na...
8 Reactions
80 Replies
1K Views
Habari yenu wanajukwaa. Juzi kati hapa waziri Ummy amesema mh. Rais amepunguza vifo. Nikajiulizatu maswali mawili. 1. Je kuna mtu anayepunguza idadi ya vifo au ni uchawa? 2. Kama amevipunhuza mama...
5 Reactions
20 Replies
394 Views
Hello brothers and sisters... This is something very important you should know. When you have sex with another person, you exchange energy. If that person is carrying around guilt, shame or...
9 Reactions
66 Replies
639 Views
Mtoto wangu yoyote yule akija kuwa askari polisi amejifukuzisha mwenyewe kwenye familia.
7 Reactions
17 Replies
51 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,233
Posts
49,594,148
Back
Top Bottom