Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
MREI Company Limited ni watengenezaji na wauzaji wa nishati safi ya kupikia inayotumia Oil chafu, lakini pia wanahitaji support kutoka kwa wadau na serikali ili kuweze kuiendeleza technologia hii...
Tumeona jeshi la polisi limetangaza nafasi za ajira jamani naomba kma kuna mdau yoyote anayeweza kunisaidia nipate maana nimeshaomba sana uko nyuma nikakosa msaada nawaomba sada
I will be short
These are the most useless individual in our football. i believe we could have been better than what we are today.
1. Ligi yetu ina panga matokeo kama ligi ya Kenya. Shame...
nilikuwa naoga ile maji yamenigusa tu . Nilihisi moyo upo mbio , ni mepata fatigue , nguvu sina , palpitations moja Kali . Chest pain , wenge kubwa sana Aisee nikafunga shower nikapoa kwanza ...
JWTZ imekuwa ikifanya kazi vizuri kulinda mipaka ya nchi na Amani sambamba na kufanya whistle blowing kwenye TEUZI za kikimbizi.
Pamoja na yote haya, bado kwangu wanasiasa wananguvu sana...
Mwalimu wa shule ya sekondari ya Ebenezer iliyopo Sango mkoanikilimanjaro ,Anthony Sulle,amefariki dunia kwa kijinga.
Habari kutoka Moshi zinasai kuwa kabla ya kujinyonga marehemu aliandika...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania anatangaza nafasi za ajira kwa vijana wenye elimu ya Shahada, Stashahada, Astashahada, Kidato cha sita na Kidato cha nne.
1. Sifa za Muombaji
a) Awe raia wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.