Wakuu nimetafakari sana nimegundua kumiliki gari ukiwa TZ sio jambo dogo tofauti na nchi jirani. Gari linachukua pesa zako nyingi sana kwa mara moja. Kwa mfano ukiagiza gari ulilolipia labda Tsh...
Nimesoma mnyukano wa Halima Mdee na Tundu Lissu kama ilivyohabarishwa na Mwanahalisi Digital nimebaki nacheka tu.
Sasa wewe Halima Mdee kama kweli unaipenda Chadema ulishaambiwa na Freeman Mbowe...
Lengo kuu ukiachana na kujaribu kuiteka Israel October 7 ilikuwa ni kuua watu ndani ya Israel wengi kadri iwezekanavyo, Target zilikuwa ni raia wema wasio na silaha ili kuoata matokeo makubwa...
Waziri wa Kilimo mh Bashe ameliambia Bunge timu ya wizara yake itamwita Mwekezaji MO Dewji Ili kujua matazamio yake kwenye mashamba aliyouziwa na Serikali kwa Masharti maalumu huko Korogwe Tanga...
Habari Wanajamvi.....
Leo katika pita pita zangu, nimejikuta nimefika Dampo la Dar es Salaam lililopo Pugu ~ Kinyamwezi. Huko bana kilichonipeleka ni mihangaiko tu lakini nimetoka na kitu ambacho...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Baada ya kufuatilia kwa makini vile vinavyozungumziwa na makamu mwenyekiti wa Chadema mhe Tundu Lisu, nimegundua kwamba jamaa amejipanga kujaribu kuuwa ndege wawili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.