Wakuu salaam
Moja kwa moja kwenye topic. JE wewe una ndoto za ufugaji na hauna Banda?
Je wewe ni mfanyakazi unayefanya kazi Moshi mjini au vijijini na hauna sehemu ya kufugia?
Kodisha mabanda haya...
Wiki hii kampuni ya simu ya Safaricom ya Kenya imefikisha mapato ya dollar bilioni 1.07 kwa mwaka na kuifanya kampuni ya kwanza katika ukanda wa Africa Mashariki kufikisha na kupita kiwango cha...
Wabunge wa Zanzibar wanatakiwa kuhudhuria vikao vya bunge vya mambo ya muungano tu sio vikao vyote vya bunge
Kuna bajeti mfano hazihusu mambo ya muungano wanakalia Nini ? Au Kwa Nini wawawekwe...
Hapa nilipo nina majonzi, roho imeniuma sana kwa kuzaliwa kwenye familia maskini
Ipo hivi mimi kwetu ndio wa mwisho msichana peke yangu kati ya watoto 6.. Mzee wangu alitangulia mbele za haki...
Tumeona jeshi la polisi limetangaza nafasi za ajira jamani naomba kma kuna mdau yoyote anayeweza kunisaidia nipate maana nimeshaomba sana uko nyuma nikakosa msaada nawaomba sada
Ndugu zangu Watanzania,
Hapa chini ni picha ya Mama mzazi wa Mheshimiwa Dkt Tulia Acksoni Mwansasu ,speaker wa Bunge letu pamoja na Rais wa umoja wa mabunge Duniani yaani IPU. Tukio hili la...
Katika vitu ambavyo vinameza fedha za JMT ni bunge. Kuhudumia wabunge zaidi ya 300 pamoja na ofisi za majimbo yao ni mzigo mkubwa kwa wananchi wenye uchumi wa kusadikika.
Hawa wamachinga na...
Wakuu, nimeoa siyo kwa ndoa au harusi. Jana nimerudi na mke, kwangu geto hapa Dar cha ajabu nimeshindwa kupiga show. Yaani, juzi usiku mzima tumelala nimeshindwa kupiga show. Jana nayo tena mambo...
Tumeona jeshi la polisi limetangaza nafasi za ajira jamani naomba kma kuna mdau yoyote anayeweza kunisaidia nipate maana nimeshaomba sana uko nyuma nikakosa msaada nawaomba sada
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.