Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nina kijana wa miaka 17. Wa kiume ni mpole na mkimya lakini hayuko smart.Tofauti na ilivo kwa watu wengi wa kimya kwa kua na akili nyingi kwa kijana wangu ni tofauti ni mkimya ila sasa akija...
22 Reactions
302 Replies
4K Views
Wanajukwaa! Je, umewahi kukutana na MAJINI au JINI? Je ulifanyaje? Je mlikua marafiki, au walikutisha na kukuogopesha, je mliishi pamoja? Je umeshawahi kuzungumza nao? Basi kama ndio karibu...
3 Reactions
8 Replies
75 Views
Salaam, shalom!! Utafiti mdogo niliofanya unasema, mnyama huyu nguruwe, akizaa watoto, ukichelewa kuwaondoa, aweza kuwala wote pasi huruma, Kuna wanyama na ndege walioumbwa wakiwa na utindio...
6 Reactions
217 Replies
2K Views
Wakuu nimekua nikitamani kufanya cartoon na 2d animation tangu niko shule. Hivyo imepita miaka mingi bila kutimiza ndoto kutokana na kutokuwa na resource mbalimbali. Sasa mwaka fulani hivi...
3 Reactions
13 Replies
108 Views
Habari wana JF, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, sasa hivi kutokana na uhaba wa ajira ndani ya nchi yetu ya Tanzania, kuna makampuni ambayo yanatangaza yanatoa ajira nje ya nchi, hasa nchi...
1 Reactions
7 Replies
155 Views
Beki wa kati wa coastal union Lameck Lawi amesajiliwa na Simba SC. Mkataba wake ni miaka miwili.
5 Reactions
11 Replies
593 Views
Tuongee ukweli kati ya Yammi na mke wa Barnabas nani mzuri be honest😜
6 Reactions
99 Replies
2K Views
Tunafanya delivery kwa Wakazi wa Dar Unalipia ukipokea bidhaa yako Free delivery kwa Wakazi WA Dar(10KM) Tupo kariakoo mtaa wa ndanda na magira
5 Reactions
1K Replies
25K Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
267 Reactions
164K Replies
5M Views

FORUM STATS

Threads
1,853,068
Posts
49,589,163
Back
Top Bottom