Wakuu habari za wakati huu.
Niwe wazi tu tangu nimemaliza chuo, maisha kwangu yamekuwa magumu, michongo niliyopata ilihitaji niwe na cheti bahati mbaya nina vimeo so hadi niviclear...
NAUZA PLOT, KIBAHA MADAFU/ZEGELENI. KM 5 KUTOKA BARABARA YA MOROGORO ROAD.
Huduma za jamii zimefika... Maji,umeme, hospital,
Total area ni 1400sq meters. Ina hati miliki
Vimepakana na Kiwanda...
Habari Wana JF,
Samahani nilikua naomba msaada jinsi ya kutangaza biashara mtandaonii kwa kutumia zile sponser au Kama Kuna njia nyingine yoyote ilimradi iwafikie watu wengi mtandaoni.
Ahsanteni 🙏
Kila dini ina maelekezo yake juu ya tendo la ndoa,miongoni mwa wanandoa, kila kabila lina utamaduni wake kuhusu tendo la ndoa.
Jambo la muhimu sana kwa wanandoa, ni kwamba wanafunga ndoa ili...
Inakuwaje Wanajamvi!
Influencer/Mhamasishaji na mchekeshaji maarufu nchini Mwijaku amefanya jambo ambalo siyo sahihi na kinyume na maadili kwa kumshikashika miguu inayovutia na inayotamanisha...
Wakuu nimekua nikitamani kufanya cartoon na 2d animation tangu niko shule. Hivyo imepita miaka mingi bila kutimiza ndoto kutokana na kutokuwa na resource mbalimbali.
Sasa mwaka fulani hivi...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amelieleza Bunge kuwa anapowatazama wake zake roho yake inapata furaha ya kipekee jambo linalosababisha kufanya kazi zake kwa kujituma na kujitoa.
Kauli hiyo ameitoa...
Maustaadh/Masheikh Wengi Wakihubiri Wanahubiri Kwa Tone Ya Juu Sana (Wanafoka)
Wachungaji Wengi Wakihubiri Wanahubiri Kwa Tone Ya Juu (Wanafoka)
Mapadre/Maaskofu (Catholic) Wengi Wakihubiri...
Wanajukwaa!
Je, umewahi kukutana na MAJINI au JINI? Je ulifanyaje? Je mlikua marafiki, au walikutisha na kukuogopesha, je mliishi pamoja? Je umeshawahi kuzungumza nao? Basi kama ndio karibu...
Katika hali ilozoeleka kusia kutoka kwa mabinti ama madada zetu pale tunapowachumbia ni ile wao wanaposisitiza kushiriki tendo la ndoa pale tu ndoa itakapokuwa imefungwa.
Ndoa haijafungwa no sex...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.