Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hapa nilipo nina majonzi, roho imeniuma sana kwa kuzaliwa kwenye familia maskini Ipo hivi mimi kwetu ndio wa mwisho msichana peke yangu kati ya watoto 6.. Mzee wangu alitangulia mbele za haki...
36 Reactions
557 Replies
8K Views
Taarifa yao iliyosambazwa na Mkurugenzi wa Itifaki, John Mrema hii hapa.
5 Reactions
38 Replies
802 Views
Ile kauli mbiu ya kazi iendelee iko wapi! Daraja linafungwa zaidi ya saa kwa mambo ya chama watu wanachelewa makazini! Hivi tupo serious kweli hii nchi? Wamekosa maeneo mengine ya kuwangia hadi...
3 Reactions
13 Replies
203 Views
Habari za leo wana jf mimi ni kijana wa miaka 26 nimejitafuta kwa muda na kwa sasa nashukuru mungu niko tayari kwa ajili ya ndoa,na kifamilia na kimatunzo pia hivyo basi naomba kufahamu kama...
1 Reactions
1 Replies
2 Views
Kwasababu Chama clatus kasema jielezee baabaa hakuna anaekununulia bando, basi nimewaza jambo hapa. Tukiachana na nyimbo zake zisizokuwa na kichwa wala miguu za shu, za koma sava etc, jamaa...
0 Reactions
2 Replies
11 Views
Imagine kwa muda wa karibia 2 hours sasa tuko kwenye foleni kupisha Mwenge. In this Millennium tunapotezeana muda kiasi hichi kisa Mwenge! Disappointment ya hali ya juu. Wakazi wa Kigamboni...
14 Reactions
58 Replies
592 Views
Nimeona kwenye mtandao wa X Lema amepost kitu ameita " sielewi kabisa" . Uchonganishi aliopost huu hapa https://twitter.com/godbless_lema/status/1788569776366723518/photo/1
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Grand mark 2 inauzwa million 5( maongezi kidogo yapo) … ipo dar kwa anaehitaji nichek pm
0 Reactions
8 Replies
100 Views
Kuwa raisi sio jambo dogo/jepesi hata kidogo. Kongole kwa La mama anaeendelea kugongelea misumari kuhakikisha gurudumu halichomoki na tunakwenda mbele bila wasi... Twende sasa.... Cha kwanza...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
514K Replies
29M Views

FORUM STATS

Threads
1,852,902
Posts
49,582,981
Back
Top Bottom