Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nje ya Siasa makamu Mwenyekiti wa Chadema, mh Tundu Antipas Lissu anaelewa Wazi kama kweli DP World wameuziwa Bandari basi Muuzaji ni Wabunge zaidi ya 300 wa Tanganyika waliopo bungeni kwa sasa...
4 Reactions
66 Replies
818 Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
382K Replies
11M Views
Wadau hamjamboni nyote? Mimi bado naamini timu ya simba itachukua ubingwa wa ligi kuu ya NBC Tanzania Najua wengi hamuamini lakini kumbukeni kuwa imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo...
3 Reactions
9 Replies
154 Views
Hapa nilipo nina majonzi, roho imeniuma sana kwa kuzaliwa kwenye familia maskini Ipo hivi mimi kwetu ndio wa mwisho msichana peke yangu kati ya watoto 6.. Mzee wangu alitangulia mbele za haki...
36 Reactions
573 Replies
9K Views
Wanafunzi wanaolipwa Tshs 10,000 za wavuja jasho na damu wanaosoma chuo cha TIA[Uhasibu]- Temeke, Dar es Salaam wamemtembelea Jokate Mwangelo ambaye ni mama mwenye mtoto mmoja ofisi za UVCCM...
7 Reactions
52 Replies
715 Views
Tangu nipo shule ya msingi tulikuwa tunaaminishwa kwamba Mwl Nyerere ndio "icon" pekee hapa nchini, tulikuwa tunaimba nyimbo nyingi ni za kumsifu, lakini hatukuwahi kuambiwa kuwa kuna watu...
130 Reactions
2K Replies
172K Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
220K Replies
16M Views
Jamani sijui Mimi ni mshamba?sijawahi penda biriani
2 Reactions
75 Replies
76 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,916
Posts
49,583,542
Back
Top Bottom