Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuna mnada mkubwa wa malori hapa UK. Kwa wale wanaohitaji chochote wanaweza ku bid online halafu nitawasaidia kwenye kusafirisha kwa gharama nafuu. Maelezo zaidi ni inbox. They are plenty! 2020...
0 Reactions
4 Replies
140 Views
Jinsi maisha haya inaonesha idadi ya wakataa ndoa inazidi kuwa kubwa yani siku hizi ndoa zimekuwa kama uchaguzi NEC tanzania. jamaa kavisha pete kumbe pembeni kuna jamaa alishapitia kitambo
0 Reactions
9 Replies
100 Views
Pia Soma: Tetesi: - Kuna Redio inawamendea B12, Adam Mchomvu na DJ D Ommy
0 Reactions
2 Replies
107 Views
FedhaBook: Mfumo wa kusimamia hesabu za biashara yako hata kama upo mbali na biashara yako Okoa muda na kujichosha kupiga mahesabu kwa kichwa na kalamu na daftari na uutumie muda huo kufanya...
9 Reactions
34 Replies
404 Views
Salaam, shalom!! Kama mada inavyojieleza, mwandishi angependa kupata majibu sahihi ya kisayansi, Kwanini ugonjwa huu wa kuambukiza huwa hauvuki mipaka japokuwa watu huvuka kuja Tanzania na...
0 Reactions
12 Replies
210 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
514K Replies
29M Views
Taarifa yao iliyosambazwa na Mkurugenzi wa Itifaki, John Mrema hii hapa.
4 Reactions
35 Replies
740 Views
Mwijaku kaenda Mpaka Makka ila bado anafuga Mbwa, hajui kuwa ni Haramu kwa Muslims kufuga Mbwa..!! Waislamu hatufugi mbwa, mbwa ni haram tumewaachia Makafiri ndio wafuge! Mbwa akikunusa ama...
1 Reactions
37 Replies
300 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
42 Reactions
51K Replies
3M Views
Imagine kwa muda wa karibia 2 hours sasa tuko kwenye foleni kupisha Mwenge. In this Millennium tunapotezeana muda kiasi hichi kisa Mwenge! Disappointment ya hali ya juu. Wakazi wa Kigamboni...
12 Reactions
51 Replies
434 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,865
Posts
49,582,592
Back
Top Bottom