Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hii kitu ina addction moja mbaya sana unanunua kopo la elf 6 ni kubwa unaweza kupanga ule kwa siku 3 lakini ukionja tu nakuapia unaweza maliza mda huo huo.
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Freemason ni neno la kingereza ukilitea kwa lugha ya kiswahili maana yake ni "Wajenzi Huru" Art ya Freemason ukisoma article 76A na 86B zinaeleza Freemason ni kikundi cha watu ambao hukusanyika na...
1 Reactions
14 Replies
132 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
514K Replies
29M Views
09/Mei/2024 Nilifanikiwa Kushiriki Katika Uzinduzi wa Kiwanda cha Malori Na Tipa, Kinachoitwa, "Saturn Corporation Limited", Kilichopo Wilaya Ya Kigamboni. Mgeni Rasmi Katika Uzinduzi Huo wa...
1 Reactions
7 Replies
8 Views
Baraza kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, limethibitisha uamuzi wa kamati kuu ya chama hicho cha upinzani Tanzania na kuwavua uanachama wabunge 19 wa viti maalumu wanawake. Je...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Ndugu zangu Watanzania, Hapa chini ni picha ya Mama mzazi wa Mheshimiwa Dkt Tulia Acksoni Mwansasu ,speaker wa Bunge letu pamoja na Rais wa umoja wa mabunge Duniani yaani IPU. Tukio hili la...
6 Reactions
73 Replies
2K Views
Kuna mada nimeziona nyingi kuhusu wadudu. Ukweli ni kwamba wanaotrend sana kama wadudu kipindi hiki sio wadudu. Kwanza hao ni wakuja tu huyo kenyoyo sio wa Arusha ni wa Mto wa Mbu. Wadudu OG ni...
7 Reactions
37 Replies
936 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,928
Posts
49,583,843
Back
Top Bottom