Kwa sasa Chama chako kiko katika wakati mgumu wa mgawanyiko wa nani kiwe upande wake.
Kuna timu Mwenyekiti, Lema and the Company, hawa wako na wasi wasi, na hawana imani tena na Timu Makamu na...
Yani ana act as if amejaa kwako na waeza dhani kua ukimwambia tutoke out itakua rahisi, ila chaa jabu uki make move tu, anabadilika kama si yeye.
Wadada muache kucheza na hisia za watu, mambo ya...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kila siku Morris Makoi, uko Jimboni kwa Prof Ndakidemi!!
Umesahau kuwa mbunge wako Prof Ndakidemi bafo ni mbunge halali na muda wake bado.
Makoi, CCM na vyombo vya usalama wanakuona na...
Kwa wale Music enthusiasts wenzangu last Weekend katika kuzurura katika viunga vya M.City i came across duka la Kodtec. Hawa jamaa wanauza appliances zao mbali mbali pale zikiwemo Subwoofers...
Chama cha Wanasheria Tanganyika kimewaleta pamoja Wana-AZAKI nchini Tanzania Bara na Visiwani kujadili na kubainisha changamoto za kisera na kisheria zinazohitaji maboresho na mikakati madhubuti...
Nina kijana wa miaka 17.
Wa kiume ni mpole na mkimya lakini hayuko smart.Tofauti na ilivo kwa watu wengi wa kimya kwa kua na akili nyingi kwa kijana wangu ni tofauti ni mkimya ila sasa akija...
REKODI YA DUNIA ya abiria wengi kupanda kwenye ndege moja iliandikwa mwaka 1991 baada ya abiria 1086 Waethiopia wenye asili ya Uyahudi kupakizwa kwenye ndege aina ya Boeing 747 kutoka Ethiopia...
Ni kawaida watu kuwa na mitazamo tofauti namna ya kuishi.
Haijalishi umechukua mwerekeo upi bado kuna changamoto zitakuwepo na hata zinatofautiana uzito.
Kuna msemo between two evils choose lesser...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.