Mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tanzania analipwa sh milioni 5 hadi kumi kwa mwezi na bado hizo zinaonekana eti ni ndogo.
Ila mwalimu wa shule ya Msingi analipwa sh laki 3 kwa.mwezi ( hiyo...
MTU AKIFA ANATAKIWA AZIKWE WAPI? MIGOGORO YA KUZIKA MAITI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Mwezi Aprili nilifiwa na Bibi yangu kipenzi ambaye ndiye aliyenilea, kwangu alikuwa kama Mama...
Ama kwa Hakika huyu Waziri Mkuu wa Slovakia anahitaji kupongezwa.
Kwa niaba ya wapenda amani duniani tunakupongeza mno Mr. Robert Fico kwa kukataa maombi ya kifedhuli ya Zelensky na viongozi wa...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
08 May 2024
MBOWE YAMSHINDA AMPINGA PROF. PALAMAGAMBA KABUDI MBELE YA HALAIKI ''HATUWEZI JADILI MAMBO YALE YALE KWA MIAKA 30''....
Freeman Mbowe amejikita katika chaguzi 6 zilizopita na...
Habari zenu bwana!.
Kifupi Mimi liwagu sikuwahi kujua kazi halisi ya mkuu wa mkoa na kwa mtazamo wangu sikuona haja sana ya kuwa na wakuu wa mkoa.
Lakini kwajinsi ninavyomuona mkuu wa mkoa wa...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Baada ya kufuatilia kwa makini vile vinavyozungumziwa na makamu mwenyekiti wa Chadema mhe Tundu Lisu, nimegundua kwamba jamaa amejipanga kujaribu kuuwa ndege wawili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.