Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimeona wameongeza combi nyingi sana kwenye kwenye elimu ya advance jambo zuri ila lina ubaya wake pia Niende kwenye mada nchi yetu sio ya kidini yaani haifungamani na dini yeyote ile...
42 Reactions
153 Replies
5K Views
Wakuu nlileta kisa hum baada ya kusex na binti anaetumia dawa na hakuniambia, ila siku anakuja mda ulikua umeenda sana na nlitakiwa kuwahi kazini..so kwenye ile sex nlifanya chini ya dakika 2...
4 Reactions
5 Replies
163 Views
Nimekuwa nikijiuliza mda mrefu sana kuhusu hilo tisho eti mke wa mtu ni sumu. Ajabu, mbona mme wa Hugo mke hafi!?
1 Reactions
7 Replies
70 Views
Ni mda mrefu sasa mwana Jf Suzy Elias haonekani humu jukwaa LA Siasa na isivyo kawaida! Yu wapi ndugu yetu?
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Jamani sijui Mimi ni mshamba?sijawahi penda biriani
12 Reactions
205 Replies
1K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
515K Replies
29M Views
Kuheshimu imani ya mtu, hasa katika nchi isiyo na dini, ni suala nyeti sana. Ndiyo maana Watanzania wengi wanapotaka kufanya sherehe, kama si Waislamu, huhakikisha kuwa mchinjaji wa nyama...
4 Reactions
83 Replies
505 Views
sidhani kama kuna raia au mwanainchi anaweza kuamini na kukipa dhamana chama ambacho kimeshindwa kabisa, kutatua na kufikia muafaka wa tatizo lake dogo tu, dhidi ya wanachama wake, ambao ati...
3 Reactions
46 Replies
454 Views
Wakuu naomba kufahamu, Je iwapo Coastal Union akabaki kwenye nafasi ya nne ligi kuu ataenda kushiriki kombe la shirikisho Africa? Je bingwa wa CRDB Confederation akiwa Azam au Coastal ataenda club...
1 Reactions
11 Replies
135 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
42 Reactions
51K Replies
3M Views

FORUM STATS

Threads
1,853,038
Posts
49,588,010
Back
Top Bottom