Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wasalaam wakuu, Uzi huu utumike kupashana habari kuhusu epson printers, iwe ushauri, au kutatua matatizo mbalimbali ya hizi printer, basi taarifa zake zikusanyike hapa kuwasaidia watumiaji wengi...
4 Reactions
227 Replies
30K Views
Jamani Mgosi nawaletea dili hili, kama una shida ya pesa ya fasta bila kupoteza. TV INCH32, Kampuni PineTech Flat screen ya kawaida pesa -100k cash
1 Reactions
14 Replies
173 Views
Chief Executive Officer wa PPP Tanzania Bwana David Kafulila amesema Serikali ya Rais Samia Suluhu imeamua kuzika kabisa tatizo la Umeme Tanzania. Pamoja na Bwana la Mwl Nyerere (SG) baada ya...
4 Reactions
61 Replies
704 Views
  • Suggestion
Utangulizi: Kuendesha gari ukiwa mlevi bado ni suala muhimu duniani kote, na kusababisha ajali nyingi, majeraha, na vifo kila mwaka. Nchini Tanzania, kama ilivyo kwa mataifa mengine, ajali za...
0 Reactions
2 Replies
51 Views
Nabii Mkuu,kada kindakindaki wa chadema Mbunge wa zamani wa Arusha mjini, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya kaskazini asipoangalia makonda anaweza kumtengenezea zengwe hapo Arusha Bila shaka...
0 Reactions
2 Replies
43 Views
Ladies and gentlemen, its me again. The creater of stories like “How I met my wife” na “Cheaters: the series”. Nakuleteeni Goodness of fit. A story of love, blackmail, betrayal and politics...
28 Reactions
180 Replies
44K Views
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania anatangaza nafasi za ajira kwa vijana wenye elimu ya Shahada, Stashahada, Astashahada, Kidato cha sita na Kidato cha nne. 1. Sifa za Muombaji a) Awe raia wa...
1 Reactions
13 Replies
309 Views
Wengi wetu tumekuwa tukilalamika njinsi marafiki, ndugu na n.k tunapo wapa mwangaza asilimia 100 na kujikuta wanakuwa wabaya kwako. Nilimchukua jamaa mmoja nika mpeleka nchi za nje kwa roho ya...
7 Reactions
16 Replies
292 Views
Wanajamvi, Leo nimekuja, mwenzenu yamenifika shingoni Nina miaka mitatu tangu nimeingi kwenye uchimbaji wa madini huku Chunya, Mbeya. Nimamiliki karasha, nimeshapoteza zaidi ya milioni 40...
19 Reactions
316 Replies
7K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
514K Replies
29M Views

FORUM STATS

Threads
1,852,953
Posts
49,584,778
Back
Top Bottom