Ningependa kujua kama nahitaji kuweka fence kama hii nitumie mmea/mti/maua ya aina ila ambayo itaweza kuni guarantee usalama dhidi ya kupenyeka kwa urahisi.
Karibuni wenye ueledi juu ya hili
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
REKODI YA DUNIA ya abiria wengi kupanda kwenye ndege moja iliandikwa mwaka 1991 baada ya abiria 1086 Waethiopia wenye asili ya Uyahudi kupakizwa kwenye ndege aina ya Boeing 747 kutoka Ethiopia...
MIMI NA MIMI
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Tamaa, Hila, Usaliti, Siri, Mambo Ysiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA KWANZA
★★★★★★★★★★★★★...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Nimekuwa nikifuatilia hotuba za Lissu kwenye ziara zake. Kwanza nilichobaini ni uwepo wa siasa za kukigawa chama na nchi kwa ujumla. Lakini pia hasira na mihemko kwenye kauli zake apunguze na...
Ndugu zangu Watanzania,
Hapa chini ni picha ya Mama mzazi wa Mheshimiwa Dkt Tulia Acksoni Mwansasu ,speaker wa Bunge letu pamoja na Rais wa umoja wa mabunge Duniani yaani IPU. Tukio hili la...
MBUNGE MAVUNDE AKABIDHI GARI YA KUBEBEA WAGONJWA HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA
Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) Jijini Dodoma imepokea gari nyingine ya kubebea wagonjwa hivyo kufikisha magari...
Hii kitu ina addction moja mbaya sana
unanunua kopo kubwa la elf 6 (kwengine hadi elf 8), unapanga ule kwa siku 3 lakini ukionja kipande tu nakuapia unaweza kufuta lote mda huo huo, ukionja ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.