Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Salaam, shalom!! Kama mada inavyojieleza, mwandishi angependa kupata majibu sahihi ya kisayansi, Kwanini ugonjwa huu wa kuambukiza huwa hauvuki mipaka japokuwa watu huvuka kuja Tanzania na...
3 Reactions
48 Replies
776 Views
Jamani sijui Mimi ni mshamba?sijawahi penda biriani
3 Reactions
84 Replies
99 Views
Kuna mada nimeziona nyingi kuhusu wadudu. Ukweli ni kwamba wanaotrend sana kama wadudu kipindi hiki sio wadudu. Kwanza hao ni wakuja tu huyo kenyoyo sio wa Arusha ni wa Mto wa Mbu. Wadudu OG ni...
6 Reactions
27 Replies
878 Views
Zaidi ya kaya 50 kutoka kata ya Kahororo Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera zinaomba msaada kwa serikali baada ya nyumba zao kujaa maji na kusababisha wakose sehemu ya kuishi.
0 Reactions
7 Replies
277 Views
Habarini wana JF, Mimi ni kijana Nina miaka 25, natafuta kazi nimesoma clinical medicine, nipo registered na leseni ninayo, naomba kazi dispensary au health centre, Kwa Sasa nipo mwanza...
2 Reactions
9 Replies
99 Views
Wadau ni kipindi gani ajira za jeshi la polisi zinategemea kutangazwa?
0 Reactions
17 Replies
396 Views
Katika hali inayoonesha kuwa ngoma hii ni ngumu Msemaji wa ikulu ya Rais wa marekani John Kirby leo ameeleza wazi kuwa kitendo cha IDF kuingia katika mji wa Rafah kitasababisha Wanamgambo wa Hamas...
0 Reactions
8 Replies
305 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
514K Replies
29M Views
Katika vitu ambavyo vinameza fedha za JMT ni bunge. Kuhudumia wabunge zaidi ya 300 pamoja na ofisi za majimbo yao ni mzigo mkubwa kwa wananchi wenye uchumi wa kusadikika. Hawa wamachinga na...
4 Reactions
13 Replies
180 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,926
Posts
49,583,766
Back
Top Bottom