Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuheshimu imani ya mtu, hasa katika nchi isiyo na dini, ni suala nyeti sana. Ndiyo maana Watanzania wengi wanapotaka kufanya sherehe, kama si Waislamu, huhakikisha kuwa mchinjaji wa nyama...
4 Reactions
121 Replies
1K Views
Kabla ya Iran kurusha missiles kwenda Israel waandishi walimuuliza Biden kama anategemea Iran kuishambulia Israel. Biden alichojibu ni "very soon". Na kabla ya kutoa kauli hii wizara ya ulinzi...
9 Reactions
45 Replies
2K Views
Wananchi wanaojitokeza kulalamika kwa mkuu wa Mkoa Makonda ni wengi sana, kama vile hakukua na serikali hata kidogo. Lakini inafahamika kuwa ni CCM iliyoko madarakani tangu nchi pate uhuru 1961...
10 Reactions
34 Replies
1K Views
Ungekuwa kwenye situation ya wabunge 19 waliofukuzwa CDM lakini bado wapo bungeni kwa hisani ya "mahakama." Ungefanyaje kuelekea uchaguzi wa 2025? Ungerudi CDM, ungeenda CCM au chama kingine? Kila...
3 Reactions
20 Replies
397 Views
4 Reactions
24 Replies
353 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
267 Reactions
164K Replies
5M Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
42 Reactions
51K Replies
3M Views
Mwalimu wa shule ya sekondari ya Ebenezer iliyopo Sango mkoani Kilimanjaro, Anthony Sulle amefariki dunia kwa kujinyonga. Habari kutoka Moshi zinadai kuwa kabla ya kujinyonga marehemu aliandika...
11 Reactions
69 Replies
2K Views
Jamani kwa walioolewa ndoa zao zipoje? Mnashea mabwana kama mie? Unajisikiaje unamjua mchepuko wa mumeo na huna cha kumfanya?
14 Reactions
86 Replies
1K Views
NANAOMBA USHAURI Habari yako mwana JF mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 ninafanya kazi ya bodaboda Nilikuwa na mpenzi wangu niliyeishi nae kwa miaka 4 sasa na tuna ahadi ya...
5 Reactions
24 Replies
336 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,066
Posts
49,589,051
Back
Top Bottom