Wakuu nimekua nikitamani kufanya cartoon na 2d animation tangu niko shule. Hivyo imepita miaka mingi bila kutimiza ndoto kutokana na kutokuwa na resource mbalimbali.
Sasa mwaka fulani hivi...
Habari wana JF, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, sasa hivi kutokana na uhaba wa ajira ndani ya nchi yetu ya Tanzania, kuna makampuni ambayo yanatangaza yanatoa ajira nje ya nchi, hasa nchi...
Wanajukwaa!
Je, umewahi kukutana na MAJINI au JINI? Je ulifanyaje? Je mlikua marafiki, au walikutisha na kukuogopesha, je mliishi pamoja? Je umeshawahi kuzungumza nao? Basi kama ndio karibu...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Wanakumbi.
🚨🇺🇳🇵🇸BREAKING: UN YAPITIA AZIMIO LA KUSAIDIA UANACHAMA WA PALESTINA
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lilipitisha kwa wingi azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kufikiria upya...
Nina kijana wa miaka 17.
Wa kiume ni mpole na mkimya lakini hayuko smart.Tofauti na ilivo kwa watu wengi wa kimya kwa kua na akili nyingi kwa kijana wangu ni tofauti ni mkimya ila sasa akija...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.