Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

sidhani kama kuna raia au mwanainchi anaweza kuamini na kukipa dhamana chama ambacho kimeshindwa kabisa, kutatua na kufikia muafaka wa tatizo lake dogo tu, dhidi ya wanachama wake, ambao ati...
2 Reactions
36 Replies
354 Views
Ni kawaida watu kuwa na mitazamo tofauti namna ya kuishi. Haijalishi umechukua mwerekeo upi bado kuna changamoto zitakuwepo na hata zinatofautiana uzito. Kuna msemo between two evils choose lesser...
5 Reactions
13 Replies
100 Views
Wanigeria wengi wamelaani kuanzishwa kwa ushuru mpya kwa miamala ya kielektroniki ya benki na simu huku wengine wakisema kuwa itawarudisha nyuma na kuanza kutumia pesa taslimu. Benki Kuu ya...
1 Reactions
2 Replies
214 Views
Jamani sijui Mimi ni mshamba?sijawahi penda biriani
12 Reactions
191 Replies
1K Views
Akihojiwa na vioa msemaji wa ccm ndugu amosi Makalla amesema anasikitishwa sana hali ndani ya chadema. Msemaji huyo amesema mambo yanayomsikitisha ni kuona chadema wanakiri kuna hela chafu...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
42 Reactions
51K Replies
3M Views
Yani ana act as if amejaa kwako na waeza dhani kua ukimwambia tutoke out itakua rahisi, ila chaa jabu uki make move tu, anabadilika kama si yeye. Wadada muache kucheza na hisia za watu, mambo ya...
4 Reactions
14 Replies
135 Views
Salaam ndugu wakulima nawafugaji Husika na mada tajwa hapo juu Twambie wewe ungefuga myama gani? Karibu
1 Reactions
24 Replies
761 Views
Ni kweli wameshindwa kabisa kugundua dawa ya kutibu Ugonjwa wa Ukimwi au wana maslahi na ugonjwa huu? Kwa miaka mingi tangu ugonjwa huu ulipogundulika kumekuwa na taarifa nyingi zenye utata...
15 Reactions
116 Replies
5K Views
Wanajamvi, Leo nimekuja, mwenzenu yamenifika shingoni Nina miaka mitatu tangu nimeingi kwenye uchimbaji wa madini huku Chunya, Mbeya. Nimamiliki karasha, nimeshapoteza zaidi ya milioni 40...
20 Reactions
326 Replies
7K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,031
Posts
49,587,542
Back
Top Bottom