Salaam, shalom!!
Utafiti mdogo niliofanya unasema, mnyama huyu nguruwe, akizaa watoto, ukichelewa kuwaondoa, aweza kuwala wote pasi huruma,
Kuna wanyama na ndege walioumbwa wakiwa na utindio...
Wakuu nimekua nikitamani kufanya cartoon na 2d animation tangu niko shule. Hivyo imepita miaka mingi bila kutimiza ndoto kutokana na kutokuwa na resource mbalimbali.
Sasa mwaka fulani hivi...
[salam inakuaga hapa]
Wakuu, nimekua nikitembelea mara nyingi tu Channel ya JF uko YouTube. Kusema kweli Mero na team yake kwa YT wanahitaji kubadirisha approach yake. Maana engagement ni ndogo...
Full name: Arsenal Football Club
Nickname(s): The Gunners
Founded: 1 December 1886
League: Premier League
Website: arsenal.com
Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch...
Inakuwaje Wanajamvi!
Influencer/Mhamasishaji na mchekeshaji maarufu nchini Mwijaku amefanya jambo ambalo siyo sahihi na kinyume na maadili kwa kumshikashika miguu inayovutia na inayotamanisha...
Ukifika mbezi mwisho karibu na choo cha stendi ya daladala utakutana na misululu mirefu ta watu wakusubiri usafiri wa daladala! Tofauti na wasafiri wengine ambao dakika sufuri magari ni mengi tena...
We mdada wa CRDB tawi la Mwanza customer care desk, kwanza nakuombea kwa mungu uzidi kukupa afya njema vingine nitafanya mimi, ninafanya juuchini nikupate, iwe ni kwa upendo, dua, viringe ama...
Wanajukwaa habari zenu?
Sasa inaenda kuwa rasmi, nguli wa sheria na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu anafutwa uanachama. Wana-CHADEMA kindakindaki wamepania kukipasua chama kabisa ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.