Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

  • Poll
Habari wakuu, Naomba kujua maoni yenu! Klabu gani itashinda Champions League 2024 na kwa nini?
3 Reactions
57 Replies
1K Views
1. Kwamba Israel na Marekani walihitaji mapumziko uchwara ya wiki 6 kurejelewa vita baada ya Ramadhani. 2. Kwamba katika kipindi hicho waachiliwe mateka wao wote nao wataachia mamia ya wafungwa...
7 Reactions
85 Replies
3K Views
Hivi ndugu zangu haya mawazo viongozi wetu huwa wanayaokota wapi? Badala ya kufikiria jinsi wananchi watapata gesi kwa bei nafuu na gesi iwafikie watu wengi zaidi yeye anawaza kuweka tozo na luku...
9 Reactions
25 Replies
602 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
514K Replies
29M Views
Hili ni jambo la msingi sana ambalo wadau wa Serikali ya Tanganyika wanapaswa kulijua Hadi 1980s kuna makabila hata kujitambulisha kwalo ilikuwa ni kama kujidharau hivi lakini kuimarika kwa...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Bila Benki Kuu na Wizara ya Fedha kuongilia kati, naona mgomo mkubwa unanukia Arusha au Nchi Nzima kutoka kwa mawakala wa mabenki na taasisi za fedha wanaokusanya madeni mara baada ya Makonda...
5 Reactions
80 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kauli za kibaguzi ambazo zimetolewa na zimekuwa zikitolewa kupitia mdomo wa Lissu zimeendelea kulaaniwa na kukemewa sana na watanzania maeneo mbalimbali nchini. Ambapo...
7 Reactions
86 Replies
771 Views
Wakuu kuna jambo linanitatiza. Nimekuwa na mahusiano kwa miaka miwili sasa huyu mwenzangu anataka tuchukuane kimya kimya (sogea tuishi) pasipo ndoa rasmi. Anaeleza kuwa baada ya mimi kwenda kwake...
10 Reactions
284 Replies
43K Views
Mimi ni kijana nina miaka 37, nimeoa ndoa yangu ina miaka 12 sasa, kuna kipindi nilipata mwanamke mwingine, niliondoka na kwenda kuishi naye, kweli nilimuacha mke wangu na watoto wawili na sikuwa...
12 Reactions
58 Replies
700 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,426
Posts
49,603,937
Back
Top Bottom