Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwa wanao mpinga Lissu watueleze ni kitu gani anachosema cha muungano sio cha kweli? https://www.youtube.com/live/hmLasxyFJQg?si=lLw63NG_Fuxm-byT Kama kuna mtu ambaye sio Mzanzibari hapa ana...
6 Reactions
34 Replies
667 Views
#nguvumoja# VIKOSI VINAVYOANZA. AZAM FC SIMBA SC. Updates... Timu zote mbili zimeshaingia Benjamin Mkapa. Wanajiandaa kuanza mazoezi ya kupasha misuli.
10 Reactions
193 Replies
2K Views
Ukisikiliza kilio cha wazanzibar kuhusu unyanyasaji wanaoupata ndani ya muungano huu usioeleweka, ni kama vile Tanganyika imeikalia Zanzibar kimabavu. Ni ukweli usiopingika kwamba wazanzibar...
8 Reactions
105 Replies
2K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
514K Replies
29M Views
Leo kitaeleweka dabi ya Mzizima kati ya Simba sc vs Azam fc nani kutoboa,tusubiri muda ufike
1 Reactions
2 Replies
12 Views
Nimesoma mnyukano wa Halima Mdee na Tundu Lisu kama ilivyohabarishwa na Mwanahalisi Digital nimebaki nacheka Tu Sasa wewe Halima Mdee kama kweli unaipenda Chadema ulishaambiwa na Freeman Mbowe...
0 Reactions
6 Replies
21 Views
Habari, Nilikua na idea ya kutengeneza tovuti kama udemy au skillshare lakini yenyewe ijikite kwenye kufundisha kwa lugha ya kiswahili. Nimefanikiwa kutegeneza, lakini wateja ndo shughuli...
2 Reactions
13 Replies
134 Views
Tuongee ukweli kati ya Yammi na mke wa Barnabas nani mzuri be honest😜
6 Reactions
73 Replies
1K Views
https://www.youtube.com/watch?v=95-KgsbjZ_s&pp=ygUZbmFnYXJqdW5hIGNlbWVudCBmdW5ueSBhZA%3D%3D
0 Reactions
3 Replies
64 Views
Hayawi hayawi mwisho yamekua kuna baadhi ya watu wanaamini kwa asilimia mia kuwa Azam fc atashinda mbele ya Simba sc nawaambieni futeni wazo hilo kwani azam atakufa kifo cha mende kama hatodhibiti...
0 Reactions
3 Replies
4 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,593
Posts
49,576,894
Back
Top Bottom