Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu,...unaanzaje anzaje kutongoza mishangazi maana mishangazi unapoifata inakuwa seriouz sana..halafu ukienda kichwa kichwa unaweza ukakemewa na mshangazi hadi uone siku yako imeenda...
37 Reactions
262 Replies
7K Views
Habarini za muda wakuu, poleni na majukumu ya kila siku. Ninahitaji kuzalisha fedha kuanzia millioni moja na kuendelea kwa siku ya Kuanzia leo mpaka Jumamosi. Ili niweze kutatua tahadhari...
8 Reactions
23 Replies
1K Views
https://www.youtube.com/watch?v=95-KgsbjZ_s&pp=ygUZbmFnYXJqdW5hIGNlbWVudCBmdW5ueSBhZA%3D%3D
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Napenda kufahamu jinsi wafanyabiashara wanavyonunua mbuzi toka kwenye minada mbalimbali eneo la Gairo, Kilindi, Handeni , Kilosa na Dodoma. Kisha kuwasafirishq kupeleka kwenye kiwanda cha Nyama...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
42 Reactions
51K Replies
3M Views
Bila Benki Kuu na Wizara ya Fedha kuongilia kati, naona mgomo mkubwa unanukia Arusha au Nchi Nzima kutoka kwa mawakala wa mabenki na taasisi za fedha wanaokusanya madeni mara baada ya Makonda...
13 Reactions
206 Replies
4K Views
Faris ni Kijana Makini na mwenye akiri sana kwa vijana wa Tanzania. Anaonyesha namna hata Kijana anavyopaswa kuwa. Watu wanamtukana Rais wetu harafu watu wamekaa Kimya. Alipona viongozi wamekaa...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Nimekuwa verified member wa JamiiForums tangu zamani, pia malezi ya chama changu yamenifanya nipende mjadala. Nimefurahi kuja kuwaona, sikuwahi kujua nyie ni wakubwa kiasi hiki. Nimeona kazi...
25 Reactions
111 Replies
1K Views
Jamani Asanteni, Ila nilichojifunza ni kwamba tukipewa ofisi, tufanye kazi na kuwajibika. Yani mtu unaweza kuharibu sifa ya ofisi yako sababu ya kuchukulia vitu poa. Yule Mama anasema Maboss wa...
14 Reactions
28 Replies
467 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,562
Posts
49,576,428
Back
Top Bottom