Wanajamvi
Leo nimekuja, mwenzenu yamenifika shingoni
Nina miaka mitatu tangu nimeingi kwenye uchimbaji wa madini huku chunya mbeya,
Nimamiliki karasha, nimeshapoteza zaidi ya milioni 40 katika...
Inashangaza na inasikitisha kuona kijana ana miaka karibia 35 na hajawahi miliki hata gari la million nne, ukweli ni kwamba kwa dunia tuliyopo usafiri binafsi hauepukiki. Sijamaanisha ununue gari...
Hello there..
On my line of work, I'm enclosed with vast law enforcement personnel. My demeanor is that I never try or force to be close with someone just because she or he have a certain status...
UKIKUTANA NA MTU MWENYE KAULI HIZI JUA ANA HISTORIA YA KUTAPELIWA KIMAHUSIANO 😔
1.Wanaume/wanawake wote hawafai.
2.Dunia ya sasa hakuna waoaji/waolewaji.
3.Nawachukia sana wanaume/wanawake...
Mbowe ni Kiongozi mzuri Ila , Kiongozi mzuri ni yule anayekubali kuondoka madarakani watu wakiwa bado wanampenda.
Tunakushukuru Sana Mbowe Mwamba. Ila ebu tumpatie na Lissu tuone atafanya nini...
Yes, dini ni kwa ajili ya watu wasio na ufikiri sahihi. Dini ina vitu ambavyo ni vya watu wa akili za chini sana.
Vitabu vyote vya dini vina michanganyo isiyohitaji hata kutumia nguvu kujua kuwa...
Wakuu sijawahi kukutana na mtu mkorofi mtata na mwenye visasi kiasi hiki. Biashara imekuwa ngumu sana mpaka nawaza kuifunga tu asije akanipeleka jela bure maana amepania kupeleka jela...
Hapa nilipo nina majonzi, roho imeniuma sana kwa kuzaliwa kwenye familia maskini
Ipo hivi mimi kwetu ndio wa mwisho msichana peke yangu kati ya watoto 6.. Mzee wangu alitangulia mbele za haki...
Habari zenu wapendwa, mimi ni binti wa miaka 28 elimu yangu ni kidato cha nne ninaujuzi wa kompyuta nilisoma kozi fupi natafuta kazi ya stationary, au uwakala tigopesa nimefanya mara kadhaa hizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.