Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

#nguvumoja# VIKOSI VINAVYOANZA. AZAM FC SIMBA SC. Updates... Timu zote mbili zimeshaingia Benjamin Mkapa. Wanajiandaa kuanza mazoezi ya kupasha misuli. Updates.... 04' Azam wanajaribu...
11 Reactions
410 Replies
6K Views
Ukisikiliza kilio cha wazanzibar kuhusu unyanyasaji wanaoupata ndani ya muungano huu usioeleweka, ni kama vile Tanganyika imeikalia Zanzibar kimabavu. Ni ukweli usiopingika kwamba wazanzibar...
8 Reactions
109 Replies
2K Views
BORESHA AFYA YAKO KWA KUTUMIA VIRUTUBISHO FOREVER LIVING PRODUCTS Na Comrade Ally Maftah JITU LA MIRABA Moja kati ya jambo la kuogopa kuliko chochote ni kupoteza uwezo wako wa kawaida / wa...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Toka taasisi hii imeanzishwa sijawahi kusikia wamekamata Trafiki akichukua rushwa. Wakati Hawa jamaa wamejiwekea malengo Kwa siku kukusanya kiwango kadhaa. Mtego wao Ni rahisi Sana. Chukuen hatua
3 Reactions
18 Replies
654 Views
1. Kupumzika makaburi – Denmark. Katika nchi nyingi, Makaburi huchukuliwa kama ni sehemu ya kuogofya, lakini Nchini Denmark wao ni tofauti kwani wamejiwekea utaratibu wa kwenda kupumzika maeneo...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kuna mdada nyumba jirani huwa anafua nguo za ndani nyingi na kuzianika kujaza kamba ikiwa ni njiani tunapopita. Hii tabia sipendezwi nayo, inatutia tu akshi asubuhii. Kwani hizo chupi huwa...
7 Reactions
42 Replies
685 Views
Wanajamvi Leo nimekuja, mwenzenu yamenifika shingoni Nina miaka mitatu tangu nimeingi kwenye uchimbaji wa madini huku chunya mbeya, Nimamiliki karasha, nimeshapoteza zaidi ya milioni 40 katika...
11 Reactions
201 Replies
3K Views
Tuongee ukweli kati ya Yammi na mke wa Barnabas nani mzuri be honest😜
6 Reactions
75 Replies
1K Views
Kama kuna Benki inayo wanyonya wakopaji basi Benki ya NMB inawakausha damu wananchi kisawasawa. Inawezekanaje mtu anakopa milioni 9 analipa milioni 80 ?!!! Huu ni wiza wa mchana kweupe!!!! Huu ni...
7 Reactions
53 Replies
926 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,624
Posts
49,577,858
Back
Top Bottom