Kwa zile harakati za Wanaharakati wa wakati ule tuliokuwepo tunazikumbuka lakini walishindwa
Huu mfupa Tundu Lisu ana dhamira ya kweli ya kuutafuna au ni mbwembwe Tu za Fisi kufuatilia mkono wa...
Kama unatumia sana youtube utakuwa umekutana na matangazo ya mikopo mtandao.
Mimi sikuwa nayazingatia mpaka yakaanza kuwa ya ajabu ajabu kama hivi;
Basi nikaamua kufuatilia kidogo, nikatafuta...
Jamani yule Jabali la siasa bora zenye Tija kwa taifa limeanza Phase 2 hapo jana.
Tundu Lissu Mwenyekiti wa Chadema Taifa ameonekana akiwa kwenye mkutani Mkoano Dodoma wilaya ya Mpwapwa huku...
Rais Joe Biden ametoa msimamo wake kuwa Marekani haitakuwa tayari kupeleka silaha Israel endapo Israel itaendelea na mpango wake wa kuvamia eneo la Rafah huko Gaza.
Tamko hili limemtoa nyoka...
Wengi tumebahatia kusoma na tuliamua kuchagua kusoma masuala fulani ili yaje yatusaidie kwenye ajira. Kwako Mdau, wewe ulichosoma ndicho unakifanyia kazi kwasasa?
Inatisha na kusikitisha jinsi changamoto za sekta ya afya zinavyoathiri watu kote ulimwenguni, Tanzania nchi yangu nayo haijaachwa nyuma na janga hili linalokua kila uchwao, linaloteka vichwa vya...
Tanzania secures $7.6 billion financing deal from Chinese lender to build new railway
President John Magufuli with China Exim Bank president Liu Liang after holding talks at Chamwino State Lodge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.