Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
927 Reactions
1M Replies
40M Views
Jamani yule Jabali la siasa bora zenye Tija kwa taifa limeanza Phase 2 hapo jana. Tundu Lissu Mwenyekiti wa Chadema Taifa ameonekana akiwa kwenye mkutani Mkoano Dodoma wilaya ya Mpwapwa huku...
10 Reactions
46 Replies
452 Views
Hivi ndugu zangu haya mawazo viongozi wetu huwa wanayaokota wapi? Badala ya kufikiria jinsi wananchi watapata gesi kwa bei nafuu na gesi iwafikie watu wengi zaidi yeye anawaza kuweka tozo na luku...
17 Reactions
63 Replies
1K Views
Mzuka wanajamvi! Kila jamii duniani inaamini vitu flani hasi ama chanya. Kwa mfano hapa Tanzania kuna watu ukiwapa pesa na mkono wa kushoto hawakubali, kujitawadha kwa mkono wa kulia siyo...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Inafkrisha sana mama kakimbia ukiwa na miaka 4 baada ya miaka 12 ndio unakuja kumjua lkn anakupa sababu ambazo hazina mashiko unaamua kufunika kombe mwanaharamu apite. Miaka inaenda unamaliza...
9 Reactions
63 Replies
2K Views
Kufuatia mapitio ya orodha ya Taifa ya Dawa Muhimu (National Essential Medicine List -NEMLIT) yaliyofanywa na Wizara ya Afya Aprili 30, 2024 kwa kujumuisha muunganiko,muundo na nguvu kwa dawa 178...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ni aje wakuu, hii ni post yangu ya kwanza kabisa, ndio kwanza nimeingia hapa. Like yako hapa ni ukaribisho rasmi kwangu. Ahsante
14 Reactions
59 Replies
335 Views
Usione aibu na tuambie ukweli mara ya mwisho timu yako kubeba ubingwa wa Ligi ilikuwa ni mwaka gani? Mimi mwaka 2023.
1 Reactions
0 Replies
1 Views
Ep 01 Naitwa Sabrina ni mzaliwa wa bukoba kabila langu n mchanganyiko wa kihaya na kirwanda yn baba yngu akiwa mhaya na mama yngu mrwanda kabisa, nilisoma elimu ya primary na kufaulu kuingia...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Sehemu ya kwanza Katikati ya msitu mnene, giza zito likiwa limetanda kila kona ya msitu huo alionekana kijana akikimbia huku jasho likimtoka ni dhahiri alikuwa amekimbia kwa muda mrefu sana na...
3 Reactions
16 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,852,455
Posts
49,604,983
Back
Top Bottom