Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Masuala ya muungano nchi yamewekwa katika ofisi ya makamu wa Rais ambapo pia kuna wizara na waziri anayeshughulikia muungano na mazingira. Sijui kwa nini serikali wameweka muungano na mazingira...
0 Reactions
11 Replies
23 Views
MAREKANI: Rais Joe Biden ameionya Israel na kuitaka kusitisha mpango wake wa kushambulia eneo la Rafah lililopo Kusini mwa Mji wa Gaza huku akieleza kuwa Serikali yake haitatoa Silaha endapo...
0 Reactions
1 Replies
87 Views
Niliyojivunia: 1. Nilipata safari ya kikazi mkoani Kagera wilaya ya Ngara. Kwenye lile basi raia wengi walikuwa ni wa Rwanda na Burundi. Wakati nipo kwenye basi, nilishuhudia wale jamaa walikuwa...
4 Reactions
36 Replies
647 Views
Natoa pongezi za dhati kabisa kwa safu yote ya Mawaziri chini ya Amiri Jeshi Mkuu Mama Samia. Nieikubali safu hii ya mawaziri aliyo ipanga wanachapa kazi. kila nikiwasikiliza na kuwatizama...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Alianza kunitafuta toka last week na kujisemesha semesha kuwa ananimiss na namiss jinsi ambavyo tulikuwa tunakutana kimwili kisawa, mimi nikawa namjibu tu kifupi. Huyu demu aliamua kuachana nami...
4 Reactions
14 Replies
157 Views
Hivi ndugu zangu haya mawazo viongozi wetu huwa wanayaokota wapi? Badala ya kufikiria jinsi wananchi watapata gesi kwa bei nafuu na gesi iwafikie watu wengi zaidi yeye anawaza kuweka tozo na luku...
16 Reactions
50 Replies
970 Views
Ni aje wakuu, hii ni post yangu ya kwanza kabisa, ndio kwanza nimeingia hapa. Like yako hapa ni ukaribisho rasmi kwangu. Ahsante
14 Reactions
54 Replies
304 Views
  • Poll
Wengi tumebahatia kusoma na tuliamua kuchagua kusoma masuala fulani ili yaje yatusaidie kwenye ajira. Kwako Mdau, wewe ulichosoma ndicho unakifanyia kazi kwasasa?
1 Reactions
13 Replies
93 Views
Jamani, mimi sina la kuongeza hapa. Normal physiology na human taste inakubaliana na philosophy ya binadamu kwamba chakula fresh from the kitchen lazima kiwe kitamu kuliko kiporo. Ila linapokuja...
2 Reactions
12 Replies
65 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,448
Posts
49,604,788
Back
Top Bottom