Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
927 Reactions
1M Replies
40M Views
Saikolojia ya mapenzi kwa dakika chache bila kukuboa. Binadamu tunaishi kujifunza na kutumikia matamanio ya miili yetu hasa starehe ya mapenzi. umaarufu and power ni nyongeza hisio ya msingi sana...
6 Reactions
57 Replies
912 Views
Japokuwa huu muungano ni kichefu chefu tu kwa wazanzibar lakini ukweli mchungu ni kuwa, bila huruma na upendo wa Tanganyika basi huenda Zanzibar tusiweze kutoboa hata miezi mitatu. Kuanzia...
47 Reactions
205 Replies
5K Views
Huyu kijana ambaye kwa sasa anaitwa BoniYai au Mleta Taharuki, hadithi yake ya kisiasa inasisimua kwa kiasi chake, hakuwahi kuwa na makuu wala kujikweza. Hebu msome hapa halafu Toa maoni yako
14 Reactions
57 Replies
2K Views
Makonda ni moja ya watu wenye kujituma sana kwenye serikali zote tokea kuchaguliwa ila mapungufu yake tuweke pembeni. Mpaka sasa sijasikia UVCCM na chawa wa CCM wakiumuongelea sababu wanajua...
1 Reactions
4 Replies
41 Views
Tusipoziba ufa, tutajenga ukuta, Ni busara shughuli na maswala ya muungano na tunu zake, yakatolewa nje, aidha yakawa siyo maswala ya kujadiliwa na wanasiasa wa vyama vya siasa vilivyopata...
5 Reactions
39 Replies
506 Views
  • Sticky
Tanzania secures $7.6 billion financing deal from Chinese lender to build new railway President John Magufuli with China Exim Bank president Liu Liang after holding talks at Chamwino State Lodge...
15 Reactions
16K Replies
2M Views
Hivi ndugu zangu haya mawazo viongozi wetu huwa wanayaokota wapi? Badala ya kufikiria jinsi wananchi watapata gesi kwa bei nafuu na gesi iwafikie watu wengi zaidi yeye anawaza kuweka tozo na luku...
22 Reactions
81 Replies
1K Views
Kwa zile harakati za Wanaharakati wa wakati ule tuliokuwepo tunazikumbuka lakini walishindwa. Huu mfupa Tundu Lissu ana dhamira ya kweli ya kuutafuna au ni mbwembwe tu za Fisi kufuatilia mkono wa...
3 Reactions
65 Replies
752 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,495
Posts
49,574,306
Back
Top Bottom