Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Makonda bado anaendelea na michezo yake michafu ya kufanya mauzauza kwa kuandaa matukio ambayo huwa anapachika "waigizaji". Niwakumbushe tukio alilofanya akiwa RC wa DSM. *Aliwakusanya masingo...
5 Reactions
16 Replies
341 Views
Inashangaza na inasikitisha kuona kijana ana miaka karibia 35 na hajawahi miliki hata gari la million nne, ukweli ni kwamba kwa dunia tuliyopo usafiri binafsi hauepukiki. Sijamaanisha ununue gari...
20 Reactions
163 Replies
2K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
514K Replies
29M Views
Hapa nilipo nina majonzi, roho imeniuma sana kwa kuzaliwa kwenye familia maskini Ipo hivi mimi kwetu ndio wa mwisho msichana peke yangu kati ya watoto 6.. Mzee wangu alitangulia mbele za haki...
23 Reactions
195 Replies
2K Views
Habari zenu wanaJF wenzangu, Baada ya kufuatilia kwa makini vile vinavyozungumziwa na makamu mwenyekiti wa Chadema mhe Tundu Lisu, nimegundua kwamba jamaa amejipanga kujaribu kuuwa ndege wawili...
2 Reactions
65 Replies
1K Views
Salaam, zingatia swali hapo juu. Ati jamani yani kwanini? Kwanini mpaka tuhaidiwe au tutishiwe ndo tuamini, kwahiyo tunafanya kwa kuogopa au kwa kushawishiwa? Mfano: Utaambiwa kuna kuchomwa...
9 Reactions
47 Replies
548 Views
Match Day! Mchezo wa 13 kwa Simba akiwa na Alama 29 nafasi 3. Azam wao wako nafasi ya 2 wakiwa na Alama 31. Simba alipoteza mara mbili Mfululizo kwa Azam Fc. Hii ni Mechi ya kisasi. All...
11 Reactions
615 Replies
30K Views
Kwema Wakuu! Watanzania waliowengi ni Conservative(Watu ambao ni wagumu kubadilika au wanachukia au kuogopa mabadiliko)… Sio ajabu mtu ni muislam au mkristo kwa sababu alizaliwa na kukulia...
7 Reactions
41 Replies
216 Views
Haihitaji kwenda chuo kikuu kujua kuwa kocha bora wa mwezi ni Juma Mgunda
1 Reactions
2 Replies
39 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,670
Posts
49,579,251
Back
Top Bottom