Chombo cha anga za juu cha China, Chang'e No. 6 hivi karibuni kimefanikiwa kurushwa kutoka Kituo cha Anga ya Juu cha Wenchang nchini China kwa kutumia roketi ya Changzheng No. 5. Chombo hicho...
Jamani yule Jabali la siasa bora zenye Tija kwa taifa limeanza Phase 2 hapo jana.
Tundu Lissu Mwenyekiti wa Chadema Taifa ameonekana akiwa kwenye mkutani Mkoano Dodoma wilaya ya Mpwapwa huku...
Hivi ndugu zangu haya mawazo viongozi wetu huwa wanayaokota wapi?
Badala ya kufikiria jinsi wananchi watapata gesi kwa bei nafuu na gesi iwafikie watu wengi zaidi yeye anawaza kuweka tozo na luku...
Mzuka wanajamvi!
Kila jamii duniani inaamini vitu flani hasi ama chanya.
Kwa mfano hapa Tanzania kuna watu ukiwapa pesa na mkono wa kushoto hawakubali, kujitawadha kwa mkono wa kulia siyo...
Inafkrisha sana mama kakimbia ukiwa na miaka 4 baada ya miaka 12 ndio unakuja kumjua lkn anakupa sababu ambazo hazina mashiko unaamua kufunika kombe mwanaharamu apite.
Miaka inaenda unamaliza...
Kufuatia mapitio ya orodha ya Taifa ya Dawa Muhimu (National Essential Medicine List -NEMLIT) yaliyofanywa na Wizara ya Afya Aprili 30, 2024 kwa kujumuisha muunganiko,muundo na nguvu kwa dawa 178...
Ep 01
Naitwa Sabrina ni mzaliwa wa bukoba kabila langu n mchanganyiko wa kihaya na kirwanda yn baba yngu akiwa mhaya na mama yngu mrwanda kabisa, nilisoma elimu ya primary na kufaulu kuingia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.