Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Bila Benki Kuu na Wizara ya Fedha kuongilia kati, naona mgomo mkubwa unanukia Arusha au Nchi Nzima kutoka kwa mawakala wa mabenki na taasisi za fedha wanaokusanya madeni mara baada ya Makonda...
0 Reactions
47 Replies
375 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
514K Replies
29M Views
Wiki hii nzima ilikuwa ni semina na kuanza rasmi kwa rehab kwa ndg yetu Adam Mchomvu kabla ya kuanza kutangaza kipindi cha jahazi. Demographically, jahazi inasikilizwa na watu wenye umri 30-70...
3 Reactions
15 Replies
417 Views
Benki ya NMB imekabidhi jezi kwa Baraza la Michezo kwa Majeshi Tanzania kwajili ya mashindano yatakayotimua vumbi kuanzia Julai mpaka August mwaka huu. Jezi 154 kwa Football Jezi 84 kwa...
4 Reactions
12 Replies
227 Views
Jinsi masuala ya muungano yanavyoshughulikiwa na kwa sasa, ni mtu kipofu wa akili tu ndio hataona kwamba kadiri siku zinavyopita mbegu za uhasama kati ya Tanzania bara na Zanzibar inazidi kuota...
26 Reactions
99 Replies
3K Views
Tundu Lisu, kwa historia yake, matendo yake na kauli zake, ndiye mtu anayetakiwa kutambulika kama mtetezi namba moja wa haki, usawa, ukweli na umoja wa Watanzania wote bila ya kujali hali ya mtu...
2 Reactions
16 Replies
152 Views
Chama cha Chadema kinazunguka nchi nzima kupoteza nguvu na gharama kulalamika kuwa Rais Samia ni mzanzibari hivyo na sisi tunataka Tanganyika yetu, hivi kweli chama kinachotaka kuleta maendeleo...
5 Reactions
189 Replies
2K Views
Tunatarajia kufanya hitma. Makadirio ni watu 200. Nafikiria kuwa na vyakula vifuatavyo Pilau Nyama Ndizi Salad Tunda Maji Wazoefu wa matukio, bajeti yake hapa itakuwaje?
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,410
Posts
49,603,619
Back
Top Bottom