Rais Joe Biden ametoa msimamo wake kuwa Marekani haitakuwa tayari kupeleka silaha Israel endapo Israel itaendelea na mpango wake wa kuvamia eneo la Rafah huko Gaza.
Tamko hili limemtoa nyoka...
Baada ya REA Kukamilisha Kufikisha Umeme Kila Kijiji mwaka huu wa 2023, RUWASA nao hawako nyuma.
Serikali ya awamu ya 6 imedhamiria kufikisha maji ya Bomba Katika vyote vya Tanzania Bara ifikapo...
Inashangaza na inasikitisha kuona kijana ana miaka karibia 35 na hajawahi miliki hata gari la million nne, ukweli ni kwamba kwa dunia tuliyopo usafiri binafsi hauepukiki. Sijamaanisha ununue gari...
Hivi ndugu zangu haya mawazo viongozi wetu huwa wanayaokota wapi?
Badala ya kufikiria jinsi wananchi watapata gesi kwa bei nafuu na gesi iwafikie watu wengi zaidi yeye anawaza kuweka tozo na luku...
Tanzania secures $7.6 billion financing deal from Chinese lender to build new railway
President John Magufuli with China Exim Bank president Liu Liang after holding talks at Chamwino State Lodge...
Jinsi masuala ya muungano yanavyoshughulikiwa na kwa sasa, ni mtu kipofu wa akili tu ndio hataona kwamba kadiri siku zinavyopita mbegu za uhasama kati ya Tanzania bara na Zanzibar inazidi kuota...
Salaam,Shalom!!
Twende haraka kwenye mada, biashara ya Michezo ya kubahatisha Kwa sasa imerapakaa Nchi nzima Hadi vijijini, na sijawahi kushuhudia wahusika wakifunga biashara hizo Kwa kufilisika...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.