Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wanajamvi Leo nimekuja, mwenzenu yamenifika shingoni Nina miaka mitatu tangu nimeingi kwenye uchimbaji wa madini huku chunya mbeya, Nimamiliki karasha, nimeshapoteza zaidi ya milioni 40 katika...
13 Reactions
227 Replies
3K Views
Huyu dogo anaitwa Yahya Zaid wengi hawampi sana jicho na heshima yake. Lakini huyu ndio anaamua Azam icheze vipi na ushindi wa Azam mara nyingi unaanzia kwake. Leo ikiwa ataanzishwa na akawa...
0 Reactions
2 Replies
69 Views
Hapa nilipo nina majonzi, roho imeniuma sana kwa kuzaliwa kwenye familia maskini Ipo hivi mimi kwetu ndio wa mwisho msichana peke yangu kati ya watoto 6.. Mzee wangu alitangulia mbele za haki...
21 Reactions
189 Replies
2K Views
Kwema wakuu Ipi Kati ya kujenga mazoea Kwanza na demu au kumtongoza bila kuwa na mazoea nae inafaa.
2 Reactions
22 Replies
342 Views
Ifuatayo ndiyo orodha ya mikoa 10 bora ambayo : Ambapo binafsi nimeipangilia kwa kuangalia Upatikanaji wa chakula Urahisi wa Usafiri Elimu Hali ya Hewa Huduma za maji Mitandao ya simu Usalama...
23 Reactions
218 Replies
5K Views
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Tanzania Mhe David Kafulila amesema ule mradi wa barabara za kulipia(toll road) uliokwama tangu awamu zilizopita Sasa kwenye awamu hii ya sita umeiva. Mhe Kafulila...
14 Reactions
81 Replies
1K Views
Wanapenda kutumia lugha ya upotoshaji lakini hawasemi ukweli ni upi Yani mtu akiongea kuhusu viongozi Kuendesha kwa kiukoo Au kwa kufanya ufisadi Wanatokea machawa wanasema Anapotosha cha...
1 Reactions
5 Replies
80 Views
Wadau, habari ya majukumu bila shaka muwazima wa afya, kama na wale wenye changamoto ya afya, niwaoe pole. Bila kupoteza muda, twende kwenye mada husika. Hili neno "kila nafsi itaonja mauti,"...
10 Reactions
148 Replies
4K Views
Azam yupo tayari kwa lolote hata kukihujumu ili Simba anufaike Leo Azam kauza nafasi ya pili makusudi kwa Simba Kuna msimu aliwapa Simba wachezaji 6 wa first 11 ndo Simba akatawala soccer la...
2 Reactions
19 Replies
282 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,662
Posts
49,579,129
Back
Top Bottom