🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰
🏆 #NBCPremierLeague
⚽️ Young Africans🆚Kagera sugar FC
📆 08.05.2024
🏟 Azam complex
🕖01:00 usiku
Kikosi kinachoanza dhidi ya Kagera Sugar
mpira umeanza
dakika ya 5
0-0
dakika ya...
Nimefuatilia interview ya Prof. Safari aliyofanya majuzi, pamoja na mengine, nimeondoka na nukuu hiyo kwamba watanzania hawana utamaduni wa kusoma, kwe ye usafiri wa umma wanashindana kula.
Hii...
Nilishaona hilo likifanyika nilipokuwa mdogo. Jirani yetu aliyekunywa sumu alinyweshwa mkojo wa binadamu kwa ajili ya kumtapisha.
Miaka mingi baadaye, nikiwa nimeshahitumu Chuo, tukio kama hilo...
Hii scenario ipoje wakuu ? kuna family business ya close relatives naona inakoelekea inaweza kuwa dissolved, Lakini najua humu JF kuna mawazo tele.
Inatokea mna family business mliachiwa na...
Maimamu ambao waliondoka nchini Morocco ili kuendesha ibada kwa Wamorocco wanaoishi Ulaya katika mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, wametokomea kusikojulikana na hawajarejea nyumbani hadi leo...
Habari zenu bwana!.
Kifupi Mimi liwagu sikuwahi kujua kazi halisi ya mkuu wa mkoa na kwa mtazamo wangu sikuona haja sana ya kuwa na wakuu wa mkoa.
Lakini kwajinsi ninavyomuona mkuu wa mkoa wa...
Aiseeee kuna mambo ambayo yakifanyika mpaka unaogopa, nipo maeneo ya Mbezi na askari wa MP wamewapigisha kwata dereva na konda wake. Kilichotokea inasikitisha sana na mpaka tumeshauri wakampime...
Iko hivi,
nina marafiki wa kila aina tofauti tofauti, walevi na wasio walevi..mimi binafsi ni mywaji mzuri tu ila sio wa kubebwa.
Sasa siku kadhaa za nyuma hapo nilipata kachangamoto flani ka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.