Habari wakuu, nina kiofisi changu, nataka kununua Router unlimited ya Airtel, ambapo wana categories, wanaanzia bando ya 70,000 kwa mwezi ambayo ni Unlimited na Speed yake ni 10Mbps.
Ama nilipie...
Niliwekwa ndani na mke wangu baada ya mimi kugoma kutoa mchango wa kumdhamini kaka yake aliyekamatwa na pembe za ndovu.
Zilitakiwa milioni 5 kumdhamini kaka wa mke wangu, ndugu zake...
FEED THEM WITH FEAR, THEN EAT THEM.!
Unajitahidi sana usizungumzie maswala ya siasa na imani za watu lakini unasikia viongozi wako wawakilishi wanaongea utopolo kabisa.
Unajitahidi usiingilie...
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰
🏆 #NBCPremierLeague
⚽️ Young Africans🆚Kagera sugar FC
📆 08.05.2024
🏟 Azam complex
🕖01:00 usiku
Kikosi kinachoanza dhidi ya Kagera Sugar
mpira umeanza
dakika ya 5
0-0
dakika...
Wakuu haya haya haya amkeni kumekuchwa
Msiseme sikuwaambia
Hatimaye nimeanza kutimiza ile ndoto ya kujenga ghorofa na kwa kuanzia nimeshaleta kifusi kimoja cha mchanga.
Nilipata kijisenti hapa...
Tanzania tuna uhaba wa watu wenye Akili na ambao wapo logically I guess hii ni kwa sababu sisi wenye akili kubwa hatutaki Siasa na vilaza kukimbilia siasa.
Huyu Mbunge anauliza eti kwanini...
Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa?
Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500.
Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa...
Wakuu nipo dilemma mwenzenu, kuna msichana week jana tu hapa nimekumbana nae mtaani she seemed so hot 🔥, na sikuweza jizuia kuomba namba, tulianza kama urafiki hivi, days went by na bond flani...
Salaam nyingi za upendo kwenu.
Wazazi na Walezi, tunapoelekea kwenye siku ya familia duniani tarehe 15 Mei, 2024, tafadhali tuanze ukurasa mpya wa kuwa karibu zaidi na watoto wetu. Zawadi iliyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.