Hiki ndo kizazi bora na ambacho kipo logically .
Ndo waasisi Wa kataa ndoa crew
Wanazaa kwa mpango
Wapo logically
Wapo na mental well being.
Be blessed , Golden generation.
Chama cha Chadema kinazunguka nchi nzima kupoteza nguvu na gharama kulalamika kuwa Rais Samia ni mzanzibari hivyo na sisi tunataka Tanganyika yetu, hivi kweli chama kinachotaka kuleta maendeleo...
Ndugu zetu wahaya wamebarikiwa Kuwa na Akili Sana . wapo na IQ kubwa.
Na wengi wanajua wanataka nini katika MAISHA.
Hongereni Sana
Sijui tungekuwa wapi bila wahaya hongera Sana Max na...
Hapo zamani za kale alikuwepo Profesa mahiri na msema kweli.
Aliwahi kuzungumza ukweli kuhusu Tanganyika na kuwa ipatikane sasa kwa hiari isisubiri kama yule Rais wa Romania...
Msemaji wa Hamas,Osama bin Hamdan alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari mjini Beirut jana Jumanne, amesema iwapo Israel itaendelea kutoyazingatia mambo hayo na kuendelea na kuivamia Rafah...
Mama Samia Suluhu Hassani ambaye ni Mgombea mwenza wa kiti cha Urais kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM) amesema kuwa anawaomba wafanye kampeni kwa amani wakipita wawasikilize wala wasigombane nao...
Habari ya muda huu!
Baada ya salamu. Naomba msaada wa kimawazo kwenu ndugu zangu wana JF.
Kwakweli nimepata mtihani wa KUTONGOZWA ni mke wa jamaa yangu mmoja hivi.
Yule dada namfahamu, lakin...
Eti mbunge huyo wa Bunda vijijini Boniface Mwita Getere anasema wanachuo wasipewe boom kwani wanafunzi wanaopewa boom hawana nidhamu, niwalevi, na hawasomi.
Anadai eti walipiwe karo tu kuhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.