Chama cha Chadema kinazunguka nchi nzima kupoteza nguvu na gharama kulalamika kuwa Rais Samia ni mzanzibari hivyo na sisi tunataka Tanganyika yetu, hivi kweli chama kinachotaka kuleta maendeleo...
Nikiangalia jinsi BRT phase I iliyotekelezwa na Strabag na nikilinganisha hii BRT phase 3 ya kwenda Mbagala naona kuna utofauti mkubwa sana katika ufanisi wa kiutendaji.
Niombe kuuliza wale walio...
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰
🏆 #NBCPremierLeague
⚽️ Young Africans🆚Kagera sugar FC
📆 08.05.2024
🏟 Azam complex
🕖01:00 usiku
Kikosi kinachoanza dhidi ya Kagera Sugar
mpira umeanza
dakika ya 5
0-0
dakika ya...
Kwa lugha nyepesi ni kwamba misaada, watu na vinginevyo haviwezi kuingia moja kwa moja Gaza mpakani Rafah bila ukaguzi na idhini ya Israel.
Jeshi la Israel limechukua udhibiti wa mpaka wa Rafah...
Nimeona nije nipate michango ya wanajamvi kutokana na kwamba jukwaa hili Lina wasomi na madaktari wengi.
Kwasasa vijana wengi tumeangukia kwenye wimbi la kujipima na Kula tunda kavu, ata huko...
Wananchi elfu tatu wako vituo vya hapa NBC bank mjini kati tangu saa 11, hakuna gari inayopakia bali zote za kwenda Mbezi na Kimara zinapita zimejaa na hazisimami.
Je, kwanini Serikali inakubali...
08 May 2024
MBOWE YAMSHINDA AMPINGA PROF. PALAMAGAMBA KABUDI MBELE YA HALAIKI ''HATUWEZI JADILI MAMBO YALE YALE KWA MIAKA 30''....
https://m.youtube.com/watch?v=F1t-R5jykUY
Freeman Mbowe...
Hebu sikiliza hizi ngoma mbili kwenye Sabufa, music system au whatever yenye Base la haja..!!
1. Vile Nataka Demu Ft. Mabantu
2. Nyumbani Ft. Wanangu 99 & Baba levo.
Hoya P.Funk karudi...
Historia mwalimu mzuri, baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, kiongozi mkuu wa kitaifa aliyeenda kumpa pole ni mzanzibari, leo anatembea huku na kule akimtukana.
Tundu Lissu alimkimbia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.