Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Salaam,shalom, Mvua kubwa zilizonyesha nchini zimeanza kuleta madhara makubwa Kwa nyumba na makazi ya watu waishio kandokando mwa ziwa Hilo. Imeripotiwa kuwa, kaya zaidi ya 400 hazina makazi...
6 Reactions
31 Replies
727 Views
Mimi sijaoa Ingawa naelekea huko. Uzi wangu ni kwa dhumuni la kujifunza, hasa kutoka kwa wenye ndoa. Hili swali nimekuwa nikijiuliza mara nyingi sana. Sasa jana kuna movie moja ya Ki-Nigeria...
28 Reactions
606 Replies
9K Views
Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemuagizi waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dkt. Suleiman Jafo kuandaa katazo na kupiga marufuku matumizi ya Kuni...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Shehe Issa Ponda ametoa taarifa ya Hukumu kwa Mashehe iliyotolewa na mahakama jijini DSM Ponda amesema shehe Said Bakari na Shehe Abubakar Paul wamehukumiwa kunyongwa Shehe Musa Hassan, Hussein...
2 Reactions
45 Replies
1K Views
Mkuu Pascal Mayalla si kiitikadi bali kiuzalendo zaidi nashawishika kukuuliza Haya maswali Mawili baada ya kusikiliza Mahojiano Yako na Fr Kitima wa TEC Binafsi nakupongeza kwa namna...
0 Reactions
5 Replies
106 Views
Kama jibu ni ndio, basi huu ndio muonekano wako baada ya kujichubua.
2 Reactions
12 Replies
151 Views
A
Hii Tabia Inabidi Polisi waiache. Polisi wetu wanatabia ya Kutembea Gari lisilokuwa na Plate namba yaani (PT......) HII Tabia ni ya Kihalifu. Kuwa Polisi haikufanyi kuvunja Sheria. Kwa Kutembea...
3 Reactions
4 Replies
53 Views
Huyu fundi anaye washonea hawa jamaa hizi suti Mungu anamuona......
2 Reactions
2 Replies
3 Views
Ni jambo la wazi kwamba system ya elimu ya Tanzania kwa kiasi kikubwa inaandaa wanafunzi kuwa na ndoto za kuajiriwa hivyo kama mwanafunzi ana ndoto hizi nikiri kusema kusoma UDSM ni advantage...
0 Reactions
1 Replies
32 Views
Wasalaam Wiki hii mwanzoni baada ya kutoka kwenye mizunguko ya kusaka tonge, niliongea na ndugu yangu mfanyabiashara nikaomba wakati anafunga hesabu nifike kujifunza mambo mawili matatu. Ilikuwa...
9 Reactions
36 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,852,277
Posts
49,598,727
Back
Top Bottom